10 major Oil and Gas Projects to watch in 2020

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
695
The Alaska LNG facility is still awaiting a final investment decision, but it is hoped that one will be made following a positive final environmental impact statement due in March 2020
(Image via Alaska LNG)
1. Alaska LNG Liquefaction Plant
Cost: $43 billion
Location: USA

Longstanding plans for Alaska’s LNG Mega-Project could take a step forward in 2020.
One of the biggest LNG mega-projects in the world, it includes a three-train liquefaction plant, gas treatment plant and 800 mile pipeline. The facility is intended to export 3.5 billion cubic feet of gas per day from Alaska’s North Slope gas fields.

The liquefaction plant will have a capacity of 20mtpa and is expected to receive 2.8 bcf/d to liquefy. This part of the project alone will require construction of three LNG trains, two 240,000 cubic meter storage tanks, terminal facilities and marine services and two loading berths capable of accommodating Q-Flex LNG carriers up to 217,000 cubic metres. Construction will require 3,500 - 5,000 workers at peak times, and 100,000 - 150,000 tons of steel.

The project has been in the pipeline for several years, with a number of invested parties operating as a consortium under the name Alaska LNG. This includes ExxonMobil with a 35% share, ConocoPhillips Alaska (20%) and Alaska Gasline Development Corporation (25%). BP also held a 20% share but agreed in August 2019 to sell all their Alaskan interests to Hilcorp Alaska for $5.6 billion. Subject to state and federal regulatory appeal, the transaction should be complete later this year.

The project is still waiting for federal approval following a series of environment impact studies and public comment periods. However a final environmental impact statement is expected to be made in March 2020. If this allows the project to move forward then it is hoped that a final investment decision can also be made later this year.
Africa's largest private project, Rovuma LNG is a $33 billion development that could help the country become a major global producer

(Image via ExxonMobil)
2. Rovuma LNG Project
Cost: $33 billion
Location: Mozambique

Africa’s largest ever private project, a final investment decision on the Rovuma LNG project is expected to be made later this year, after an EPC contract was awarded by ExxonMobil to JGC Corp. in October 2019.

Rovuma LNG is one of three major LNG export projects that are currently being developed in Mozambique (the others being Coral LNG and Mozambique LNG), that are hoped will leverage the country to become one of the world’s top LNG producers.

The Rovuma facility is expected to have an output of 15.2 million tons of LNG per year, with an operational lifespan of 30 years. ExxonMobil have announced plans to invest $500 million in the initial construction phase, which will involve installation of two liquefaction trains as well as associated onshore facilities.

If the FID is made on schedule then production is due to begin in 2025.
13 years in the planning, the Al Zour Refinery is finally due to come online in 2020

(Image via Fluor)
3. Al Zour Refinery
Cost: $16 billion
Location: Kuwait

Planned since 2007 but put on hold two years later following the drop in oil prices, construction on Kuwait’s Al Zour Refinery finally began in 2017, with the facility scheduled to come online in June this year.

Located 90km south of Kuwait, it will be one of the biggest refineries in the world, producing 100,000 barrels per day of low-sulphur fuel oil to be used as feedstock by the Ministry of Electricity & Water for power generation. It will use more than 1.5 million b/d of crude and 300 MMcf/d of gas feedstock.

The project entails five phases. The first is the construction of the main facilities, including three atmospheric residue desulphurisation (ARDS) units featuring two trains each, three crude distillation units (CDU), three diesel hydrotreating units (DHTU), two naphtha hydrotreating units (NHTU) and two kerosene hydrotreating units (KHTU).

The second and third phases are the construction of support process units, utilities and off-sites. The fourth and fifth involve the construction of a 6.5 million barrels capacity storage tank farm and interconnecting pipelines and marine and export facilities including jetties and roll-on, roll-off berths.

The refinery is due to begin production by December 2020.

Construction of Phases 13-14 of the South Pars project are near completion, and will begin production in 2020

(Image via Shana)

4. South Pars Phases 13-14
Cost: $13 billion
Location: Iran

Operating in the world’s largest gas field, South Pars phases 13-14 are intended to produce 3 billion cubic feet a day of gas to be used as feedstock by the Persian LNG project.
According to the managing director of Pars Oil and Gas Company, who are in charge of developing the field, full development of the field will supply “75 percent of the country’s gas consumption for 25 years”.

Stage 13 facilities include:
  • 38 wells
  • 4 platforms, each with a capacity of 500mcfd
  • 2 32 inch main pipelines totaling a length of 260km
  • 2 4.5 inch MEG injection pipelines
  • 2 18 inch infield pipelines totaling a length of 14km
Stage 14 facilities include:
  • 44 wells
  • 4 platforms, each with a capacity of 500mcfd
  • 2 32 inch main pipelines totaling a length of 260km
  • 2 4.5 inch MEG injection pipelines
  • 2 18 inch infield pipelines totaling a length of 18km
It has been reported that the offshore pipelines have all been installed and both phases will be operational by the end of the current Iranian calendar year, in March 2020.

The expansion of the Pluto LNG facility to take gas from the Scarborough field will allow an extra 4-5mtpa of LNG to be produced each year

(Image via Woodside)

5. Scarborough Gas Project & Pluto LNG Expansion
Cost: $11 billion
Location: Australia

Woodside are planning to expand the Pluto LNG facility through the addition of a second LNG liquefaction train with a targeted capacity of 4-5 mtpa, that will allow them to develop the gas from the Scarborough field, located 270km off the coast of Western Australia.

Currently the facility has a single-train capacity of 4.9mtpa which uses feedstock from the Pluto and Xena fields.

Due to delays in the planning of the $20.5 billion Browse project, Woodside are moving up their anticipated target for the Scarborough project with the hopes of making a final investment decision in early 2020.
The Dangote refinery is expected to create 9,500 direct and 25,000 indirect jobs through Nigeria

(Image via Dangote)
6. Dangote Refinery and Polypropylene Plant
Cost: $11 billion
Location: Nigeria

Based in the Lekki Free Trade Zone in Nigeria, the Dangote Refinery and Polypropylene plant is intended to be Africa’s biggest oil refinery and the world’s biggest single-train facility. Its construction will increase Nigeria’s refining capacity two-fold, making the country less dependent on imported refined fuel products.

The facility will include a crude distillation unit (CDU), a single-train residual fluid catalytic cracking (FCC) unit, diesel hydrotreating, continuous catalyst regeneration unit, alkylation unit, polypropylene unit, utilities and offsite including a captive power plant and infrastructure for a single-point mooring terminal for crude oil and product handling.

It will be able to process different grades of crude including shale oil, and will have a production capacity of 153,000 b/d of gasoline, 104,000 b/d of diesel, 73,000 b/d of jet fuel, 4,109 b/d of LPG and 12,300 b/d of fuel oil.

Construction of the plant is intended to be completed by the end of the year, with the facility starting up in early 2021. In December 2019 the Nigerian Content Development Monitoring Board announced that $368 million of contracts were being awarded to 120 local contractors to further boost implementation of the local content policy in Nigeria through 2020.

In total, the project is thought to generate 9,500 direct and 25,000 indirect jobs throughout the country.
Nordstream 2 is due to come online later this year, despite political hurdles between Russia and the US

(Image via ENTSOG)
7. Nord Stream 2 Gas Pipeline
Cost: $10.8 billion
Location: Russia

The 1,290km Russia-Germany Nord Stream 2 Pipeline is scheduled for completion later this year, if it can overcome significant legislative hurdles.

The pipeline running across the Baltic Sea is intended to double the gas capacity of the Nord Stream route to 110 billion m3 per annum. The project involves two offshore strings with an aggregate annual capacity of 55Bcm (1.9Tcf) of gas, coming from the Yamal Peninsula which is thought to hold 4.9 Tcm (173 Tcf) of gas reserves.

A consortium including Gazprom, E.ON, OMV and Engie are operating the project, which began construction in May 2018. By August last year it was reported that 75% of the pipeline had been laid, despite consent not having been granted by Denmark for a section that would run through its territorial waters. Approval was granted by Denmark in October.

It was hoped that the pipeline could start up in the second half of this year.

However work was halted on the 21st December 2019 in response to a defence spending package signed by US President Donald Trump which threatened sanctions if pipeline construction continued. It was believed by Washington that Nord Stream 2 would make Europe too reliant on Russian LNG supplies - with state controlled company Gazprom already supplying more than a third of Europe’s gas needs - and reduce export potential for the US.

The operators reaffirmed their intention to complete the pipeline in a statement, saying:
“Completing the project is essential for European supply security. We together with the companies supporting the project will work on finishing the pipeline as soon as possible.”
Having faced down multiple hurdles and being near the point of completion already, the future of this project is an interesting prospect and certainly one to watch this year.
Train 3 of the Cameron LNG Liquefaction plant is due to start commercial operation in Q3 2020

(Image via Cameron LNG)
8. Cameron LNG Liquefaction Plant
Cost: $10.2 billion
Location: USA

The Louisiana-based Cameron LNG Liquefaction Plant is approaching completion this year, with an intended capacity of 14.95 million tons per annum from three liquefaction trains.
The project, based on the boundary of Cameron Parish and Calcasieu, is one of the biggest LNG projects in the USA and created 3,000 jobs over peak construction.

The first train went online in May last year and first liquid was announced from Train 2 in December. Completion of this train is expected in the first quarter of this year, with Train 3 due to start commercial operation in Q3 2020.
The Surat Gas project is aiming for a 2021 startup, with 18 production facilities built this year

(Image via Arrow Energy)
9. Surat Gas Project
Cost: $7.15 billion
Location: Australia

Queensland’s onshore project is intended to produce 4 Tcf of gas from the Surat Basin over a period of 27 years. The basin is estimated to hold more than 60% of Australia’s total proven coal seam gas reserves.

Arrow Energy are leading the project, with multiple phases due to be developed - the first being the development of the Tipton gas fields near the Dalby region. They intend to build 18 production facilities including gas compressors, water storage and treatment plants and power generation plants. Buried high-pressure gas pipelines will link the facilities and connect them to the gas transmission network, while buried water pipelines will connect the production facilities with sites of beneficial use. Each production well will be fitted with a 60kWp CSG-fired power generator.

The Queensland government approved 14 petroleum leases for the project in March last year. Arrow have set a start-up target of 2021, with peak production of 4mtpa aimed for 2026, so construction is expected to begin very early this year.
The Trans Adriatic Pipeline will open the Southern Gas Corridor from the Caspian to Italy

(Image via TAP)
10. Trans Adriatic Pipeline
Cost: $5.5 billion

Location: Greece

Construction on the 878km Trans Adriatic Pipeline began in 2016, and it is expected that the Greek section will begin receiving gas early this year, with Italy receiving gas from the pipeline in the fourth quarter of 2020.

The pipeline transports Caspian natural gas to Europe. It will start at the Greek-Turkish border, where it connects with the Trans Anatolian Pipeline, and will cross Northern Greece, Albania and the Adriatic Sea before connecting with the Southern Italian natural gas network. It’s intended to open up the Southern Gas Corridor by offering a direct and cost-effective transportation route.

The pipeline will initially be able to carry 10 billion cubic metres of gas per annum, with the option to expand to 20 Bcm per annum, and is able to reverse flow if required.
What will change in the Oil & Gas industry in 2020?
 
Kwa nini LNG yetu inayojengwa pale Madimba, haijatajwa wakati thamani yake ni zaidi ya $ 30 billions, wakati kwenye hizo top ten, tulipaswa kuwa No. 3?.
P
Tanzania has suspended talks between the government and foreign investors in the oil and gas sector that would have set the tone for the review of Production Sharing Agreements (PSAs). The suspension is blamed on delays by the Attorney General’s chambers.
In 2018, the government ordered the review of laws and policy, putting the liquefied natural gas (LNG) project sector on hold.
The $30 billion LNG project has been in the planning for the past five years. Construction is set to start in 2022. The plant is expected to add 10 per cent gas to Tanzania’s domestic use.
Speaking to The EastAfrican, Felix Nanguka, Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) LNG project manager said, “Negotiations have been temporarily suspended to allow for the PSA on gas review. There was overlapping between issues that were negotiated in the existing contracts.
“Since all gas existing contracts need to be reviewed, the government decided to suspend negotiations for a little while to allow for smooth co-ordination between PSA review and negotiations,” he said.
 
Nikionaga hivi vitu huwa nakunywa kwanza mzinga wa JD mpaka uishe ndio nije kujadili.

We are not serious and we don't know our position, dunia inakwenda kasi sana na ipo mbali sana kuliko tunavyodanganyana huku third world kwa the so called African politics and politicians.

Oil and Gas ni sekta ambayo ingeweza kuifanya Tanzania ikawa one of the richest African country in the world kama akili zetu zitafanya kazi kulingana na speed ya dunia, achilia mbali golds and other resources kama bahari, maziwa, nk. Hii Oil and Gas narudia tena hii Oil and gas ingeweza kufanya Taifa likaingiza pato kubwa sana na vijana wetu wakiTanzania wangeweza kuwa very proffesional na kulipwa mishahara mikubwa duniani kwenye marigs offshore na onshore. Mfumo mzima wa oil and gas unatengeneza wataalam wengi kuanzia kwenye Exploration, Drilling, operation, supporting, supply chain etc Hapo kwenye support and supply tungeweza kuzalisha matajiri wakubwa sana Africa kwa watanzania kumiliki makampuni yatakayokuwa yanafanya biashara ya moja kwa moja na makampuni ya mafuta, hapo kwenye Exploration, Drilling, Operations tungeweza kuzalisha wataalamu wengi wenye skills za kimataifa na wanaoajirika worldwide na mwisho wa siku mamilioni ya vijana wetu wangekuwa wanaendesha mabenzi na kuishi majumba mazuri kwa hela itokanayo na jasho lao kwenye oil and gas na sio hizi hela zitokanazo kwenye siasa za laana baada ya kudhuluma watu..

Tuache sasa uwekezaji kwenye siasa na kuwaza uchaguzi na chaguzi kila siku, hebu tuwekeza sasa kwenye utalaamu na watalaamu ili tupunguze taifa la watu wanaoshi kwa uongo uongo na kudhulumu haki ili waishe. Tujenge Taifa la watu wapiga kazi kweli usiku na mchana na kuingiza kipato halali kisicho na laana.. Tunatakiwa tuwe na skilled labor force yakutosha na yauhakika inayoendana na kasi na teknolojia ya dunia na sio hizi blah blah za CDM, CCM na ACT vijana wanaowaza siasa, kuchagua na kuchaguliwa kila miaka mitano. Phillipines, Indians nk wamezalisha skilled workers kubwa sana ambayo inaweza kufanya kazi popote pale na sio blah blah hizi, hawa watu popote wakienda duniani wanaajilika na kufanya kazi, Sisi tunashindwa wapi?

Inaumiza na kusikitisha sana.
 
Umesema ukweli, badala ya vijana wetu waliosoma vizuri kupata ajira ktk sekta nyeti kama hizo za oil & gas, sasa wanafanya umachinga wa kuuza bidhaa za plastic toka China, kuendesha boda boda n.k
 
Umesema ukweli, badala ya vijana wetu waliosoma vizuri kupata ajira ktk sekta nyeti kama hizo za oil & gas, sasa wanafanya umachinga wa kuuza bidhaa za plastic toka China, kuendesha boda boda n.k
Ni aibu kwa. Nchi yetu
 
Oil and Gas ni sekta ambayo ingeweza kuifanya Tanzania ikawa one of the richest African country in the world
Unaota wewe. Ni nchi gani ya Afrika ilishaendelea kwa kutumia raslimali zake. Nigeria na Angola ni moja ya mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi lakini umaskini ndiyo unazidi. Tanzania tuna nini cha zaidi mpaka tuwe tofauti?. Kwa marehemu Mobutu hapo wana kila kitu, (gas cha mtoto) lakini hawaishi kuhangaika. Tena ni afadhali kabisa tusiiguse kwani itakuwa kama laana ya kutuletea mahangaiko zaidi. Tuombe Mungu uzima tuone hiyo Msumbiji ikiwa ''one of the richest African country in the world'' kama unavyoota!
 
Nimetumia neno kutumia akili, hakuna nchi yeyote Africa ambayo nimeitaja hapo mkuu.
Kama hao WaAfrica wote wameshindwa kutumia akili na kuendekeza siasa pumbavu lazima wawe hivyo walivyo.
Hao Msumbiji unaowasema nao wakiwa wajinga wakashindwa kutumia akili nao watabaki masikini pia.
Hapo kwa Mobutu ndio uleule upumbavu wakushindwa kutumia akili na kuendekeza siasa ndiko kumewafikisha hapo.
Nasisi pia tukishindwa kutumia akili tutaendelea tu kuwa masikini na wapumbavu.

Kwa maelezo yako ni mtu unayeamini Africa itabaki hivi hivi milele amina, kwa maelezo yako unaamini Africa haiwezi kufanya chochote kwenye rasilimari zake mpaka dunia ifikie mwisho. Binafsi naamini upumbuvu, ujinga na kuendekeza siasa za kijinga ndio chanzo cha WaAfrica kushindwa kuutilize resources zake na wakulaumiwa ni WaAfrica wenyewe na ujinga wetu.
 
Rovuma LNG plant costing $33 billion dollars, capacity 15 mtpa. Time of usage 30 years.

Cameron LNG plant costing $10.2 billion dollars, capacity 14.95 mtpa; considered to be one of the biggest project even to US standards.

Sasa angalia variance ya Rovuma na Cameron almost $23 billion dollars kwenye LNG plant zinazoenda zalisha almost equal amount million tonnes of fuel per annum.

Mambo mengine kusimama tuwaachie serikari sio kwa sababu Mozambique wameingizwa chaka na Tanzania nayo inatakiwa ifuate mkondo.

Huo mradi wa Alaska kutokana na mazingira yake tu, remoteness and environmental concerns za huko unajua it will be complicated and won’t be cheap.
 
Kwa nini LNG yetu inayojengwa pale Madimba, haijatajwa wakati thamani yake ni zaidi ya $ 30 billions, wakati kwenye hizo top ten, tulipaswa kuwa No. 3?.
P
inajengwa lini? hapo wametaja LNG mabazo tayari FID final investment decision ishafanywa. hapa kwetu hata hiyo HGA host gavernment agreement tu imesimama. AG anapitia kwanza upya mikataba yote ya kampuni ya oil and gas karibia mwaka wa 2 huu hajamaliza na mazungumzo ya HGA hayawezi kuendelea mpaka hiyo mikataba irudishwe. watu wanasema kama mazumgumzo yakienda haraka basi FID inaweza kamilika 2028 na production ianze 2032. wakati mozambique wamekamilisha FID mwaka jana na kuanza kujenga, wanategemea production 2025. sasa angalia tofauti ya 2025 na 2032 wakati kuanza majadiliano ya LNG tulianza pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia neno kutumia akili, hakuna nchi yeyote Africa ambayo nimeitaja hapo mkuu.
Kama hao WaAfrica wote wameshindwa kutumia akili na kuendekeza siasa pumbavu lazima wawe hivyo walivyo.
Hao Msumbiji unaowasema nao wakiwa wajinga wakashindwa kutumia akili nao watabaki masikini pia.
Hapo kwa Mobutu ndio uleule upumbavu wakushindwa kutumia akili na kuendekeza siasa ndiko kumewafikisha hapo.
Nasisi pia tukishindwa kutumia akili tutaendelea tu kuwa masikini na wapumbavu.

Kwa maelezo yako ni mtu unayeamini Africa itabaki hivi hivi milele amina, kwa maelezo yako unaamini Africa haiwezi kufanya chochote kwenye rasilimari zake mpaka dunia ifikie mwisho. Binafsi naamini upumbuvu, ujinga na kuendekeza siasa za kijinga ndio chanzo cha WaAfrica kushindwa kuutilize resources zake na wakulaumiwa ni WaAfrica wenyewe na ujinga wetu.
Ndugu yangu. Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Wewe unaweza kabisa kuwa na nia njema na ukawa tayari kufanya. Je, wengine wanafikiri kama wewe? Hapo ndipo lilipo tatizo. Mfano ni sasa hivi ulivyo na hiyo plan lakini wengine hawana. Mkuu siyo rahisi kabisa. Ukina nchi sehemu yenye watu wengi walioweza kutuliza akili na ku-plan mambo yao na kukubaliana basi wape heshima. Mimi nina uhakika wa asilimia 98% kuwa hiyo gesi haitatukomboa kwani sisi hatuna tofauti yoyote na waafrika wengine kimwonekano na kimawazo.
 
Mimi naweza mkuu
 
kwasababu hatueleweki, hatuna msimamo mmoja, kila utawala na mambo yake.
Nadhani tuwe na imani na viongozi wetu.
Kwa miaka mingi mikataba hii mikubwa mikubwa imekuwa chaka la vigogo kupiga fedha ndefu.
Aidha mikataba mingi iliyoingiwa awali ilikuwa na 10% ya wakubwa.
Chukulia mfano wa SGR na Bandari ya BAGAMOYO.
JK aliingia mkataba na WACHINA kujenga kwa 17Trillions na iendeshwe na Wachina mpaka watakaporudiana gharama, sasa hapo wangeendeshaa hata kwa 20yrs na wakadai hawajarudisha gharama.
JPM anajenga kwa 7.5 Trilioni. Hapo amekoma 10bilions na bado Treni ni mali yetu. Tutaendesha wenyewe.
Juzi nimeona Wakenya wanalia wanasema Reli yao ni ya mafuta sio umeme lakini gharama yake ni mara mbili kuliko ya kwetu ya umeme.
Katika mazingira haya ni wajibu SERIKALI wajiridhishe na mikataba iliyopo.

Tulipigwa Dowans/Simbions
Tumepigwa mikataba mingine ya umeme
Tumepigwa Radar
Tumepigwa Mikataba ya Madini
Tumepigwa makampuni ya Simu na kwenye Makampuni makubwa yote yanayofanya kazi humu nchini.
Leo hivi anatokea mtu kujaribu kuangalia upya halafu wanaibuka watu wanalaumu....!!!!
Tanzania kila mtu anajifanya anajua na anakosoa..
Lakini ukweli nikwamba tumefikia kuwa Taifa lisilokuwa na jema
Leo huu hakuna initiative atakayoifanya JPM ikapita bila kuzodolewa hata awe na nia njema kiasi gani..
Hii ni laana
 
Aise hii ni kweli, mzee wetu Magufuri yanafanya kazi nzuri sanaa.
 
Sasa kiongozi kwenye mkataba wa LNG kwenyewe kuna tatizo gani, embu tupe dodoso ili tujue kilicho kuwa kinaendelea ndani ya ule mkataba.
 
Back
Top Bottom