10 facts about Somali women

mnhh wewe una nini leo?
mzee hajarudi nini

Wanakera sana hawa...
Mie nimefungua huu uzi nkitegemea kukutana kitu cha maana halafu nakumbana na ki-status cha fb.
Kuna mwengine sijui ndio huyu huyu nae aliweka ujinga kama huu jana.

Kinachonikera ni umeme huku kwangu kwa bi nyau hakuna..kisimu changu karibu kinaishiwa moto halafu nakutana kijiuzi cha namna hii...
 
kwa bi nyau kazi mnayo lol
 
Wakikutana na wasonjo wenzao utaporwa kama wewe mmatumbi jamaa wanajua fitna.
 
Wanakera sana hawa...
Mie nimefungua huu uzi nkitegemea kukutana kitu cha maana halafu nakumbana na ki-status cha fb.
Kuna mwengine sijui ndio huyu huyu nae aliweka ujinga kama huu jana.

Kinachonikera ni umeme huku kwangu kwa bi nyau hakuna..kisimu changu karibu kinaishiwa moto halafu nakutana kijiuzi cha namna hii...

Hujatumwa lkn

Stress zako hazituhusu

Fact nyingine

Somali ladies kwao vita kitu cha kawaidah
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom