10,000+

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
haijawahi kuwa rahisi.....!
tutakiane kheri wakuu........

NI UPENDO TU!

ahsanteni sana kwa upendo wenu

DEDICATION;

all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!
 
we have a long way to go

Hongera sana na kwa bidii ya kuchangia post hapa Janvini. Maana kwa muda wa siku takribani 690 umechangia post 10008 ambayo ni wastani wa post 14 - 15 kwa siku. Big up TEAMO. I salute you and keep it up.
 
pamoja tutashinda mkuu wangu!......
 
Aisee hongera sana! Nadhani isingekuwa ile ban sasa hivi tungekuwa tunazungumzia 10,500 +
 
haijawahi kuwa rahisi.....!
tutakiane kheri wakuu........

NI UPENDO TU!

ahsanteni sana kwa upendo wenu

DEDICATION;

all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!

Mpwa Hongera sana, Nimeongea na Eliza tumekuandalia ka tafrija kadogo pale JJ hapa kesho halafu hebu chungulia jukwaa la COMPLAINTS mara moja
 
Kwa hiyo sisi ni magarasha :hungry::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
sawa bwana lakini hata sisi we love you so much mwaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Kwa hiyo sisi ni magarasha :hungry::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
sawa bwana lakini hata sisi we love you so much mwaaaaaaaaaaaaaaaaah
ahahahahahaha!

UPENDO TU MAMAANGU!
nikikumbuka yale ma-fish dah!
 
haijawahi kuwa rahisi.....!
tutakiane kheri wakuu........

NI UPENDO TU!

ahsanteni sana kwa upendo wenu

DEDICATION;

all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!

Kwa kweli mimi sikupongezi maana hii 10000+ tumekuwa wengi mno ! Nimechukia sana leo Konyagi zitanikoma:whoo:
 
haijawahi kuwa rahisi.....!
tutakiane kheri wakuu........

NI UPENDO TU!

ahsanteni sana kwa upendo wenu

DEDICATION;

all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!

Hongera Sana
 
ahsante sana ADUI!
bila shaka isingekuwa wewe na king nisingepata ban
Haa haa haaa! Hapana RAFIKI, sioni uhusika wangu katika ile ban yako! Narudia tena, hongera sana kwa mabandiko!
 
Kwa kweli mimi sikupongezi maana hii 10000+ tumekuwa wengi mno ! Nimechukia sana leo Konyagi zitanikoma:whoo:
hahahahaha!
haya bana weee!
ukiunganisha aidii zako zote utafikisha post 25000 wewe!hahahahaha
 
Haa haa haaa! Hapana RAFIKI, sioni uhusika wangu katika ile ban yako! Narudia tena, hongera sana kwa mabandiko!
hahahaha!
pamoja mkuu......
maisha lazima yaendelee.
NAIPOKEA HONGERA YAKO KWA MOYO MWEUPEEEEEEEE!pamoja na kampeni zako za ban ukishirikiana na king
 
haijawahi kuwa rahisi.....!
tutakiane kheri wakuu........

NI UPENDO TU!

ahsanteni sana kwa upendo wenu

DEDICATION;

all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!

ee mola mlinde ,mwongoze na mkinge teamo wangu na mabaya yote
nakushukuru mungu kwa kumpa mume wangu teamo busara na hekima za KUNICHAGUA MIMI KUWA EVA WAKE...najua wapo weng lakin roho wa bwana akamshuhudia juu yangu
nahaidi yafuatayo kwako niliyetoka kwa ubavu wako
1.i wl b ya quen kwa vtendo na akshen
2.kukupenda daima
3.kuzika wafu wwoooote na ufu wao(bt dear naomba ruhusa kdg nirud kw arr nikamalizie kale kaproject ili nipate kukupeleka mariedo shpng kesho...km ukiridhia tu....)
4.m ol yrs ukitaka nimeze ukitaka nitafune...
5.i surrender ma body ma sprt na phsique to yrs...
ASANTE MWENYEZ KWA KUNIPA MWANAUME MWENYE BUSARA KM SOLOMON ,NGUVU KM SAMSON,HANDSAM KM YUSUFU...thax god!!
 
Back
Top Bottom