Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Mods msiitoe topic huku please.
Kwa kawaida,mwanaume ana 2 balls (korodani,kende),....sijui kama ndio kawaida kweli
au ni wengi wana 2balls,...
wapo wenye ball moja (1),...na wapo wenye 3 balls.
Nataka kujua,toka kwa historia yako au kama umewahi
kumfahamu mmoja kati ya wenye 1 ball,or 3 balls.
Uwezo wao katika mapenzi unakua vipi?
dhaifu (kwa wenye ball 1) au ngangari (kwa wenye ball 3)?
testimony:-
Namjua mmoja,ana ball 1 na kutokana na uoga kwamba hayuko
normal hata alikua hawezi ku-function vyema on bed.
Ila baada ya kupata ushauri mzito toka kwa mtaalam
wa saikolojia,anafurahia mapenzi saivi.
Do you know one,two,.....?