(1) (a) Maisha tunayoishi ni matokeo ya mavuno tuliyoyapanda 78% na (b) BAHATI 22%

Ni kweli kwa sababu vijana wengi wenye degree ambao ni jobless ndio waliompigia kura magufuri kwa wingi ili aingie madarakani 2015 au mnasemaje ndugu zangu?.....
 
HAKIKA SANAAA HAPO KWENYE MALIPO YA NATURAL ,BABA YANGU ALIFANYA MAMBO FULANI KWA WAKATI WAKE HAYAKUA MAZURI NILIOMBA SANA DUA NISIYAPITIE NA MUNGU ALINISAIDIA ILA NILITELEZA KIDOGO TU NIMEFANYA YALE BABA ALIFANYA MARA 6 YAKE
 
Mi nafikiri kwa nchi za Kiafrika,wengi hufanikiwa kwa bahati kwa 78%na juhudi ni asilimia 22 tu.
Juhudi zinalipa kwenye nchi zenye mifumo inayofanya kazi.
Kama kwa kila ajira moja ya TRA Kuna vijana 100 wanaoitaka,harafu Anapata mmoja,wengine 99 wanaishia kuwa wamachinga,Huyu aliyeipata,akianza Kupomoromosha majumba,na kumiriki ukwasi wa kutisha,huwezi kusema Ni juhudi zake,hapo ni bahati tu.
Watu kama mackzuckereb,Ellon Musk,Bill gate,Hawa walifanikiwa kwa juhudi zao tu,
Kuna wafanyabiashara wa kabila la Kikuyu kule Kenya,wengi wao au wazazi wao,walipata mali kwa upendeleo wa Raisi wa kwanza wa Kenya,ukikuta watoto wao walivyo na mali na ukwasi wa kutisha,hawakuzipata kwa juhudi Bali ni bahati tu
 
Inasaidia pia ukiwa mtu wa kuabudu/ibada yanaweza yakakupata kwa mbalii
 
Mbona kule kanisani tunaambiwa ni maagano na madhabua za mababu zetu ndo zinashikilia roho za umasikini. Umasikini ni roho bana

Mimi napingaga sana sasa mambo ya mababu huko nyumba yaje kunipata mimi... si uonevu huu mkuu
 
“Luck Is What Happens When Preparation Meets Opportunity" - Seneca

Seneca ; inabidi aendelee kutufafanulia sometimes unakutana na bahati angali haujafanya maandalizi yeyote.. mwisho wa siku unapoteza ulichopata kama bahati
 
Mi nafikiri kwa nchi za Kiafrika,wengi hufanikiwa kwa bahati kwa 78%na juhudi ni asilimia 22 tu.
Juhudi zinalipa kwenye nchi zenye mifumo inayofanya kazi.
Kama kwa kila ajira moja ya TRA Kuna vijana 100 wanaoitaka,harafu Anapata mmoja,wengine 99 wanaishia kuwa wamachinga,Huyu aliyeipata,akianza Kupomoromosha majumba,na kumiriki ukwasi wa kutisha,huwezi kusema Ni juhudi zake,hapo ni bahati tu.
Watu kama mackzuckereb,Ellon Musk,Bill gate,Hawa walifanikiwa kwa juhudi zao tu,
Kuna wafanyabiashara wa kabila la Kikuyu kule Kenya,wengi wao au wazazi wao,walipata mali kwa upendeleo wa Raisi wa kwanza wa Kenya,ukikuta watoto wao walivyo na mali na ukwasi wa kutisha,hawakuzipata kwa juhudi Bali ni bahati tu

Unapata kwa bahati 22%... na kama utaweza kukiendeleza hapo juhudi 78% inachukua nafasi yake kama ukishindwa utakuwa hauna juhudi.. kwa mfano hapo kwenye kazi za TRA mwezi wa kwanza kupata kazi mshahara wa kwanza badala ya kuporomosha majumba unaanza kulewea pombe, pombe na wewe wasichana na wake za watu natural itakukataa na kazi kibarua kitaota nyasi na hao mababu wa kikuyu waliopata mali kutoka kwa Raisi wa kwanza wa kenya wangekuwa hawa invest vizuri na kusimamia hizo mali vizuri wangesubiri sana na watoto wao wangekuwa kama mimi mwana ukome.. kuhusu hawa wakina FACEBOOK NA TAJIRI WA NGAPI SIJUI DUNIANI NA HUYU JAMAA WA KWENDA KUTALII JUPITA niachie nikae chini nifikilie Uzi mmoja mtamu kuhusu hawa jamaa maana VICHWA VYAO VINAFIKILIA AJABU SANA natamani kuwa mmoja kati ya wao ila nipo huku ambapo ukigundua kitu unapostiwa tu kwa AYEE TV serekari makota matupu .. kumradh kwa hiyo lugha
 
Mbona kule kanisani tunaambiwa ni maagano na madhabua za mababu zetu ndo zinashikilia roho za umasikini. Umasikini ni roho bana
True,ila unaweza ukakata chains ya hizo roho.
Kama mababu walikuwa masikini wewe utakuwa vipi tajiri.
 
Mi nafikiri kwa nchi za Kiafrika,wengi hufanikiwa kwa bahati kwa 78%na juhudi ni asilimia 22 tu.
Juhudi zinalipa kwenye nchi zenye mifumo inayofanya kazi.
Kama kwa kila ajira moja ya TRA Kuna vijana 100 wanaoitaka,harafu Anapata mmoja,wengine 99 wanaishia kuwa wamachinga,Huyu aliyeipata,akianza Kupomoromosha majumba,na kumiriki ukwasi wa kutisha,huwezi kusema Ni juhudi zake,hapo ni bahati tu.
Watu kama mackzuckereb,Ellon Musk,Bill gate,Hawa walifanikiwa kwa juhudi zao tu,
Kuna wafanyabiashara wa kabila la Kikuyu kule Kenya,wengi wao au wazazi wao,walipata mali kwa upendeleo wa Raisi wa kwanza wa Kenya,ukikuta watoto wao walivyo na mali na ukwasi wa kutisha,hawakuzipata kwa juhudi Bali ni bahati tu

True nchi za kiafrica hazina mfumo wa kuwafanya watu wake wafanikiwe kama zilizo nchi za weupe mfano wahindi, wachina, waarabu, wazungu kule kuwa masikini ni maamuzi yako, mifumo imewekwa kwa mwenye bidii kutoboa.
Afrika mifumo mingi ni ya kukufanya wewe uzidi kudidimia Ili uweze tawalika.
 
Unapata kwa bahati 22%... na kama utaweza kukiendeleza hapo juhudi 78% inachukua nafasi yake kama ukishindwa utakuwa hauna juhudi.. kwa mfano hapo kwenye kazi za TRA mwezi wa kwanza kupata kazi mshahara wa kwanza badala ya kuporomosha majumba unaanza kulewea pombe, pombe na wewe wasichana na wake za watu natural itakukataa na kazi kibarua kitaota nyasi na hao mababu wa kikuyu waliopata mali kutoka kwa Raisi wa kwanza wa kenya wangekuwa hawa invest vizuri na kusimamia hizo mali vizuri wangesubiri sana na watoto wao wangekuwa kama mimi mwana ukome.. kuhusu hawa wakina FACEBOOK NA TAJIRI WA NGAPI SIJUI DUNIANI NA HUYU JAMAA WA KWENDA KUTALII JUPITA niachie nikae chini nifikilie Uzi mmoja mtamu kuhusu hawa jamaa maana VICHWA VYAO VINAFIKILIA AJABU SANA natamani kuwa mmoja kati ya wao ila nipo huku ambapo ukigundua kitu unapostiwa tu kwa AYEE TV serekari makota matupu .. kumradh kwa hiyo lugha
Mifumo ya wenzetu weupe inaruhusu mtu yeyeto mwenye akili nzuri au mawazo mazuri katika field yeyeto kuuza wazo lake au kuingia ubia na wenye mitaji na wakanufaika wote.
Kule watu wanapesa na wapo tayari kununua wazo lolote linaloweza waongezea pesa.
Kule wanaithamin akili ya mtu hata kama hana kitu
 
Yeah ni mifumo kandamizi.. kujifunza ni miaka 17-25 ukitoka hapo hata kujiajiri hauwezi
 
True nchi za kiafrica hazina mfumo wa kuwafanya watu wake wafanikiwe kama zilizo nchi za weupe mfano wahindi, wachina, waarabu, wazungu kule kuwa masikini ni maamuzi yako, mifumo imewekwa kwa mwenye bidii kutoboa.
Afrika mifumo mingi ni ya kukufanya wewe uzidi kudidimia Ili uweze tawalika.

AFRICA ni ngumu sana hata ukibuni kwa mtindo chako cha kuchakata something wanakukamata wanakwambia hauna vibali.. mpaka washauliane instagram ndio wakuachie
 
Back
Top Bottom