1,674 wachaguliwa awamu ya pili kujiunga kidato cha tano, 187 wakosa nafasi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,372
Ofisi ya Rais Tamisemi imetangaza uchaguzi wa pili kwa wanafunzi wa kidato cha nne 2019 ambapo wanafunzi 1,674 wamepata nafasi huku 187 wakikosa nafasi.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi, Seleman Jafo ametangaza matokeo hayo leo Jumatano Agosti 28, 2019 ambapo ametaja sababu za kukosa nafasi kwa wanafunzi wavulana 187 ni kutokana na kutokamilika kwa tahasusi (combination) zao.

Mapema mwaka 2019, Waziri Jafo alitangaza matokeo ya kidato cha nne katika mtihani uliofanyika mwaka 2018 ambapo alisema wasichana wote walichaguliwa.

Waziri amesema wanafunzi hao wanatakiwa kuanza kuripoti katika shule walizochaguliwa kuanzia Septemba 2 hadi 16,2019 huku akiwataka waliokosa nafasi kutokata tamaa badala yake waombe vyuo vya kati ili wajiunge.

Ametaja sababu za kupatikana kwa nafasi ni kutokana na baadhi ya wanafunzi kujiunga shule binafsi na baadhi ya shule zimeongeza majengo.
 
KWA WALE WOTE WENYE UHITAJI WA VITABU NA NOTES MBALIMBALI ZA MASOMO YAFUATAYO KWA TOPICS ZOTE (F5 & F6)

1. ADVANCED MATHEMATICS.
2. BASIC APPLIED MATHEMATICS.
3. CHEMISTRY.
4. PHYSICS.
5. BIOLOGY.
6. GEOGRAPHY.
7. ECONOMICS.
8. HISTORY.
9. KISWAHILI.
10. GENERAL STUDY.

VITABU NA NOTES ZOTE ZINAPATIKANA KATIKA MFUMO WA SOFTCOPY (PDF) NA HARDCOPY.

TUPO UBUNGO, DAR ES SALAAM. PHONE: 0752026992/ 0737728947. EMAIL: bernadusmusa96@gmail.com

KWA WALE WOTE WALIOPO DAR ES SALAAM TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO NA KWA WALE WOTE WA MIKOANI UNAWEZA TUMIWA SOFTYCOPY AMA KUTUMIWA KWA BASI KULINGANA NA IDADI YA NOTES UTAKAZOHITAJI.

PHONE: 0752026992/ 0737728947. EMAIL: bernadusmusa96@gmail.com
 
Back
Top Bottom