1/1/2017 na maajabu yake

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Mwaka uliopita ulikuwa mgumu sana kwa vijana asa kwenye swala la ajira,tumesikia matamko mengi,uzushi mwingi na watu wamejitungia maneno ya uongo ila Mungu ni Mwema tumepita salama
My Taken
Tunaomba mwaka huu uwe wa Vitendo sio porojo na ahadi za uongo kama ipo isemwe sio kutupa moyo kwa vitu visivyo na uhakika
 
Mwaki huu kwa vijana uwe wa mapambano.

Kama inawezekana vijana watupe kule mawazo ya ajira.

Wapambane kujiari hata kwa kuunda vikundi vidogo vidogo vitakavyowavusha.
 
  • Thanks
Reactions: jmi
Ivi Na Wewe Unasubiri Ajira Gani Vile? Eti My Taken, Watu Km Nyie Ndo Watumishi Hewa Mda C Mrefu
 
Mwaka uliopita ulikuwa mgumu sana kwa vijana asa kwenye swala la ajira,tumesikia matamko mengi,uzushi mwingi na watu wamejitungia maneno ya uongo ila Mungu ni Mwema tumepita salama
My Taken
Tunaomba mwaka huu uwe wa Vitendo sio porojo na ahadi za uongo kama ipo isemwe sio kutupa moyo kwa vitu visivyo na uhakika
Chapa kazi kijana
 
Mkuu, kilicho badirika ni karenda tu mengine ni yale yale. Rais na serikali ni wale wale chama ni kile kile, nchi ni ile ile na hata ule wimbo TOT wa mbele kwa mbele nao Bado upo. Ajira zimegoma, fikiria mambo mengine vinginevyo unaweza jikuta unasubiri sana
 
Back
Top Bottom