Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
wakuu hii code ya namba ya simu ni ya mtandao upi tz
Smart sijawahi kuisikia imekuja lini TzSmart nadhani
Hiyo 0710 ilinipigia juzi aisee sikupokea. Mpaka aliponitext Mimi Fulani.Kuna 0710 na 0711
....punguza stress,Utajua mwenyewe
kuna jamaa anapiga kwa 0710 006 9437Hiyo 0710 ilinipigia juzi aisee sikupokea. Mpaka aliponitext Mimi Fulani.
Duh..Safaricom kenya boss
kodi ya nyumba kichwa majiKwani kuna kodi gani zaidi ya kodi ya mapato TRA?