07/2008 Pigo kubwa kwa serekali awamu ya 4

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
Serekali ya awamu ya nne itapata pigo kubwa sana 07/2008 itaondokewa na kiongozi mkubwa sana.
msinielewe vibaya nina Deliver MSG tu.
 
wewe Hasara ulikuwa wapi?
na bado vituko vyako hujaacha?

Huaminiki hata kidogo,
 
Inawezekana hasara alijichimbia ili kuja na utabiri huu. Sikujua humbe hapa JF kuna akina Shekhe Yahaya
 
Yep, hasara.. am sure una hint.. more pleaaaaase!

Kila mtu hilo alisubiri kwa hamu.
 
Hasara naye kazidi kutuweka roho juu.
Naona ashakuwa mtabiri sasa.
Na ikitokea huyo "Kiongozi" hajafa huo mwezi na mwaka utawajibu nini akina Idimi hapa JF?
Nauliza hivi kwa sababu nitasevu hii meseji na kuja kukuuliza mwakani panapo majaliwa.
 
kuna habari kiongozi mmoja wa serikali kupewa shavu sehemu nyingine..
 
come on Hasara stop this nonsense.................acha hadithi za alinacha kutofanya kazi eti akisubiri kufa!!!!
 
Hasara Achaa Upuuzi Wako..acha Kuishusha Hadhi Jf...nenda Uwanja Wa Fisi
 
Huu mchele mpya! Ungo, Vinu,upepo mawanana\mkali Vyote vipo humu
sasa tukae mkao na kuchambua kwanza!
 
Muungwana kutangaza baraza jipya mwaka mpya, wengi watapotea wala sii mmoja..

Bob isije ikawa kama ile ya juzi watu hapa viroho juu tunasubiri majina mapya maana watu hapa walikuja na habari kuwa wao wanatoka jikoni na wana taarifa hizo. Okay let us wait we see what will happen. I hope Muungwana will do something kama zawadi ya mwaka mpya kwa watanzania.
 
miye simpuuzii.. kwani nimejifunza kuwapa watu benefit of the doubt .. na source zangu zinaegemea sana Ijumaa... lakini SIYO MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI... hivyo ndivyo ninajisikia kwa sababu kubadili baraza haihitaji usiri namna hiyo...
 
Press conference ya 4 x 4 wanajua kila kitu lakini wamefungwa midomo!!!Invisible mwenyewe alitudanganya kuwa karudishiwa getini ili tusimbane kuhusu waliyoambiwa watangaze kesho!!!Mabadiliko balaza la mawaziri not now!!!!
 
subirini tutalikisha kitu fulani baadaye leo... ngoja watu wafurahie Eid kwanza... ndiyo sababu haikutangazwa leo...
 
Muungwana amekuwa muoga, ndio maana uraisi wake waonekana wa kibwege. Alikuwa afanye kweli November, akaingia woga, kisa JF tulimshambulia sana "tukafunua" uvumi!
 
Serekali ya awamu ya nne itapata pigo kubwa sana 07/2008 itaondokewa na kiongozi mkubwa sana.
msinielewe vibaya nina Deliver MSG tu.

Du!!! huko Hasara unapotaka kuipeleka JF,,, yetu macho na masikio tunasubiri!!!
 
Back
Top Bottom