00:20, Jf wakuu kesho mnakazi, jamani laleni,

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
128
14
Wakuu 2mshukuru mungu kwaku2shugulilisha na miangaiko ye2yote yakutwa nzima, jamani 2mshukuruni kwanza mungu kwani ame2tendea mema. Na pili jamani, wakuu tupumzike japo mudahuu kidogo uliobaki7babu kesho 2nakazi ngumutena yakulijenga hilitaifa na mwisho wakuu wote kwa ujumla usiku mwema jamani,
 
kwa wale kwao ucku,mmeambiwa mkalale huku kwetu ndo kunapambuzuka na isitoshe mtoa anatakiwa ajue majira ya dunia na sio kukurupuka tu
 
JF ni 24/7 kwa wiki zote 52 na siku zote 365 mwaka huu ni 366!.

Wewe ukishikwa usingizi jilalie wengine wetu jf ndio kila kitu tumeishakuwa addicted hadi tukilala tunalala jf, tukiamka ni jf na tunashinda jf.
 
Nimekusoma m2wangu bc achaniji rest,
 
Wakuu 2mshukuru mungu kwaku2shugulilisha na miangaiko ye2yote yakutwa nzima, jamani 2mshukuruni kwanza mungu kwani ame2tendea mema. Na pili jamani, wakuu tupumzike japo mudahuu kidogo uliobaki7babu kesho 2nakazi ngumutena yakulijenga hilitaifa na mwisho wakuu wote kwa ujumla usiku mwema jamani,

Tulale kwa raha gani tuliyonayo? Dawa zahanati hakuna, watoto wanashindwa kwenda shule, akin mama wanakesha na ndoo za maji, wakienda kujifingua wanalala sakafuni, vijana wetu wanafukuzwa vyuoni. Wazee wa jumuiya ya Africa mashariki hawajalipwa, madaktari wamefukuzwa.

Kama una usingizi umebarikiwa.
 
Wakuu 2mshukuru mungu kwaku2shugulilisha na miangaiko ye2yote yakutwa nzima, jamani 2mshukuruni kwanza mungu kwani ame2tendea mema. Na pili jamani, wakuu tupumzike japo mudahuu kidogo uliobaki7babu kesho 2nakazi ngumutena yakulijenga hilitaifa na mwisho wakuu wote kwa ujumla usiku mwema jamani,

Upumbavu ni KIPAJI!
 
Back
Top Bottom