Tesla Model S Plaid revealed: Elon Musk calls it the ‘quickest production car ever’

Maintanance ya gari za umeme ni rahisi zaidi kuliko za petroli/dizeli hii inatokana na kuendeshwa na motor badala engine. Hamna oil change,sijui gasket imeungua ,spark plug mbovu,ooh air fiter ime clog. Fewer moving parts compared to internal combustion engine means less maintanance. Kubwa kuliko una save pa kubwa gharama za petroli/dizeli

Uko sahihi kabisa. Engine na gearbox zina moving parts nyingi sana. Tofauti na gari ya umeme.
 
Tech inakuwa sana. Tena haraka sana.
Mabadiliko ya kasi yanayo madhara makubwa kisaikologia. Muandishi Alvin Toffler katika kitabu chake Future Shock (1972)alifafanua madhara ya mabadiliko ya kasi kwa binadamu. Hatimaye tunashuhudia utabiri wake enzi za digitalli.
 
Hawa wazungu wangetuachia Tu Magari yetu ya manual transmission inatosha sasa tumeanza kuhama tena kutoka Kwenye petrol na diesel
 
Hii ni itakuwa gari inayotembea haraka zaidi duniani.

Kwanza naona ina zaidi ya 1000HP.

0 to 60mph ambayo ni equivalent na 0 to 100kph inaenda kwa 1.99 sec. Hapa hamna gari yoyote inatia mguu.
Ipo mkuu! Kuna mnyama unaitwa Rimac Nevera. Una 1,914HP. 0 - 60mph kwa 1.85 sec. Yaani sPlaid hatii mguu hapo.

images (1).jpeg
 
The Wicked-Fast Next Gen Roadster!
NB;angalia hapo kando ya Model S... Hehe, this guy is a genius... 😂
1280px-The_Wicked-Fast_Next_Gen_Roadster.jpg
 
Hii ni itakuwa gari inayotembea haraka zaidi duniani.

Kwanza naona ina zaidi ya 1000HP.

0 to 60mph ambayo ni equivalent na 0 to 100kph inaenda kwa 1.99 sec. Hapa hamna gari yoyote inatia mguu.

Buggati new umeiona?? Kuna buggati chiron supersport ina hp1600 hii ni mashine hakuna anaetia mguu hapa
 
Back
Top Bottom