• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

zinc

  1. S

    Natafuta lead oxide PBO, zinc plates

    NATAFUTA LEAD OXIDE PbO (Powder), Zinc Plates Naomba kwa yeyote anaye jua mahala pa kuipata kg 1 tu tafadhali anifahamishe, ni kwa ajiri ya laboratory tests for education purpose only aidha matangenezo ya lead acid battery
  2. Tumainiandy

    Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

    Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji. Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc, Phosphorus, Iron, Potassium na Magnese, kuna faida kama 11 hivi za mbegu hizi. Napatikana Dar, kwa namba...
Top