• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

yang fenglan

 1. Donatila

  Yang Feng Glan 'Malkia wa Tembo' apigwa kalenda kortini

  Ikiwamo kufanya biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13 inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan 'Malkia wa Tembo' hadi Jumanne ijayo baada ya shahidi kuugua. Jana kesi hiyo ilipangwa kuendelea kusikilizwa ushahidi wa upande wa Jamhuri mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma...
 2. M

  Kesi ya jangili malkia wa meno ya tembo yaahirishwa tena, hali kesi ya Mtanzania yahukumiwa

  Ndugu hebu tuziangalie hizi kesi mbili hapo chini, Kesi ya Kwanza Mtanzania aliekutwa na vipande ISHIRINI (20) Vya Vipusa na alikamatwa 20th May 2016, na zenye thamani ya TS90m/- kesha hukumiwa miaka 20 jela. Kesi ya pili Mama wa Kichina QUEEN OF IVORY, ambaye yeye na genge lake walikamtwa na...
 3. chinchilla coat

  Serikali yashindwa kumsomea mashtaka 'malkia wa meno ya tembo'

  Kesi dhidi ya mwanamke Mchina ambaye anatuhumiwa kuhusika katika ulanguzi wa pembe za ndovu kutoka Tanzania imeahirishwa tena. Kesi hiyo dhidi ya Yang Fenglan, maarufu kama ‘Malkia wa Pembe’ imeahirishwa hadi tarehe 6 Juni. Upande wa mashtaka uliambia mahakama kwamba faili ya kesi hiyo bado...
Top