• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

watu

 1. Sky Eclat

  Hivi kuna watu wamekata tamaa ya maisha kiasi hiki?

 2. miss zomboko

  Urusi: Zuio la watu kutoka nje lapelekea jirani kuwaua wenzake 5 kwa madai kuwa walikuwa wakipiga kelele

  Kila jambo huja na maajabu yake! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja anashikiliwa na polisi nchini Urusi kwa kosa la kuwafyatulia risasi na kuwaua watu watano kwa madai kuwa waligoma kupunguza sauti zao wakiwa karibu na nyumba yake, huku kukiwa na marufuku ya kutembea nchini humo. Tukio...
 3. N

  Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

  Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota. Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed. Hili janga la Korona linazidi kuitikisa...
 4. socrate jr

  Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

  umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
 5. Analogia Malenga

  Kenya: Simu za watu zinafuatiliwa kama namna ya kupambana na #covid19

  Ili kupambana #CoronaVirus wakenya wanahofu kupoteza haki yao ya faragha kwa kuwa simu zao zinafuatiliwa ili kupunguza maambukizi ya #Covid_19 Kufuatilia simu huanza mara baada ya mtu kuonekana ana hatari kubwa ya kuwa na maambukizi. Na hufuatiliwa hadi pale itakapothibitika pasi na shaka kuwa...
 6. Return Of Undertaker

  Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

  IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba. Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
 7. FRANCIS DA DON

  Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

  Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani! Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko...
 8. kavulata

  Njia za kupambana na COVID-19 zinachochea ongezeko la watu Duniani

  Hakuna kazi nyingine zaidi kufanya sex majumbani huko watu walikojifungia kukimbia COVID-19. Dunia na kila nchi ijiandae na ongezeko kubwa la watu wengi waliopata ujauzito baada ya zoezi hili la kupambana na Corona kufikia tamani. Ama kuna familia zitashindwa kujifungia nyumbani kutokana na mke...
 9. J

  Hivi ndivyo China ilivyotengeneza COVID-19 kuangamiza watu ili kuidhibiti dunia kiuchumi

  December mwaka Jana 2019 ulilipuka ugonjwa wa Corona jijini Wuhan nchini China. Hapo hapo Wuhan ikawa Locked. Taharuki ikaanza duniani kote. Idadi ya wanaokufa ikaanza kutolewa ikiongozwa na China. Kwasababu ugonjwa umeanzia China, na ni nchi ya viwanda, definitely Test Kits za Corona zitaanza...
 10. S

  Vita dhidi ya Corona:Serikali ipeleke msuwaada Bungeni kwa hati ya dharura utakaotaka kila sehemu watu wanakoingia kupata huduma kuwe na sanitizer

  Katika kupambana na corona,naishauri serikali kupeleka muswaada Bungeni katika Bunge linaloendelea kwa hati ya dharura,muswaada ambao ukiwa sheria, utataka kila sehemu(jengo la kibiashara,duka,n,k) ambapo watu huingia kupata huduma ni lazima kuwe na sanitizer au ndoo ya maji na sababuni na pia...
 11. Analogia Malenga

  Mauritius watu watanunua vitu kwa alphabet za majina yao

  Serikali ya Mauritius imeongeze muda wa kubaki ndani ili kujiepusha na janga la #Covid19, raia watabaki ndani hadi Aprili 15 Kuanzia Aprili 2, maduka na ‘supermarkets’ zitafunguliwa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni na zitahudumia kwa sheria zote za usafi ili kupunguza...
 12. Magonjwa Mtambuka

  Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

  Jamaa kajitoa.
 13. S

  Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

  Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
 14. Papaa Mobimba

  Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

  Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
 15. major mwendwa

  COVID-19 Tukumbuke ushauri wa Rais Mkapa Juu ya Nchi kukosa Sera ya kudhibiti ongezeko la watu

  Katika Kitabu cha Kumbukumbu ya Maisha ya Rais Mstaafu wa awamu ya 3, Mh. Benjamin William Mkapa moja ya mambo anayoshauri katika kuhitimisha ni ushauri wa nchi yetu kuwa na sera ya kudhibiti ongezeko la watu, ongezeko la watu katika taifa letu haliendani na uwezo wetu wa uzalishaji na...
 16. K

  Maoni yangu kuhusu Serikali kukataza watu kutoka kwenye nyumba zao kupambana na Covid-19

  Ukweli ni kwamba kuna watu lazima tutoke ndio tupate angalau kidogo cha kulisha familia. Ikatokea serikali imechukua hatua kama za Rwanda, Kenya na nchi nyingine zilizoamua kuchukua hatua ya Lockdown basi ni kiama kwa baadhi yetu. Majuzi nilikuwa naongea na Dereva daladala mmoja anasema sasa...
 17. N

  Maoni ya baadhi ya watu juu ya njia ya kupambana na #corona kwa nchi za Afrika

  Ameandika mmoja wa wasomi wa falsafa, Castor Mduda, aliyejikita kwenye maadili na siasa ameandika, #CoronaVirus ni Hatari sana lakini Kuvizuia kwa kuwatesa wananchi kwa kuchukua hatua ngumu na tatanishi kwa watu ni hatari pia Ni vyema Busara ikazingatiwa na Viongozi wa Afrika katika kuchukua...
 18. Nyamsusa JB

  Marekani yakadiria kwa uchache watu wake laki moja watakufa kutokana na Corona

  Nimesikilza breafing kutoka USA Special Task Force dhidi ya corona. Wanasema huenda kwa kiwango cha chini kabisa cha Vifo vitokanavyo na Corona Virusi kikawa watu wapatao laki moja 100,000+ au zaidi. Na Kilele cha Ugonjwa huu inatazamiwa kufikiwa ndani ya muda wa majuma mawili kutokea sasa...
 19. R

  Pamba, Korosho Mmeshindwa kununua sasa mnanyang'anya Watu Choroko zao

  Habari wana JF Nimeona taarifa zikimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Magu akiwanyang'anya wafanyabiashara shehena za choroko walizonunua kutoka kwa wakulima kwa madai ya kutotumia vyama vya ushirika kununua zao hilo. Swali la kujiuliza, kwa nini serikali ya Rais Magufuli haitaki kujifunza kuwa...
Top