watu bilioni 8

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake. Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya...
  2. BARD AI

    Leo ni 'Siku ya Bilioni 8', mtoto anayezaliwa popote duniani anaweka rekodi ya watu Bilioni 8

    Leo Novemba 15, 2022, idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia watu Bilioni 8, ambayo ni hatua muhimu katika maendeleo ya binadamu. Ukuaji huu ambao haujawahi kushuhudiwa unatokana na ongezeko la taratibu la maisha ya binadamu kutokana na kuboreshwa kwa afya ya umma, lishe, usafi wa kibinafsi...
Back
Top Bottom