• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

wanajukwaa wote kwa ujumla

  1. crane

    Nini chanzo cha mtu mweusi kujihisi wa thamani ya chini mbele ya mtu mweupe(mzungu)?

    Habari za mida hii wanajukwaa.. Kwanza kabisa naombeni radhi kwa yeyote ambae atakwazika kwa namna yeyote na uzi huu, kwani itakua ni mapungufu ya kibinaadam, pia naomba support yote kwenu wanajukwaa, mimi ni mgeni humu..... Bila kupoteza wakati tuanze mada yetn... Kwa kawaida toka wengi...
Top