wakwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu. katika kusoma kwangu...
  2. Teslarati

    Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  3. GoldDhahabu

    Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  4. MKATA KIU

    Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  5. kibangubangu

    Ulipokua ugenini kwa wakwe au ndugu kumbukumbu gani ya kushare choo ilikupa ugumu

    Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza... Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma... Au tumbo linaamua tu kukuharibia... hahahah
  6. Nazjaz

    Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

    Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama. Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu. Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
  7. Amran Mpogole

    Mapenzi yanayosimamiwa na wazazi

    Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi, mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi ?
  8. Nyuki Mdogo

    Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
  9. Komeo Lachuma

    Nimemwambia jamaa yangu hili suala akae alitafakari. Hajaelewa. Hajiulizi kwa nini Iwe hivi kwa Wakwe na Mashemeji zake.

    Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao. Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
  10. Uzalendo wa Kitanzania

    Ukarimu Tuliopewa na Wakwe zetu kutokea Tarime tulipoenda peleka posa ni wakutukuka sana

    Wadau wa JF Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao Niwashukuru kwa dhati Wakwe zetu kwa ukarimu mkubwa waliotuonyesha hususani kwa upande wa chakula Tulikula kila aina ya...
  11. livewise1

    Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

    Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
  12. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
  13. roselina john

    Kupitia mawazo na ushauri wa JF, nimeamua kwenda kuwaomba msamaha ambao wangekuwa wakwe zangu lakini nikawapa aibu ya kutotokea siku ya Send Off

    Kama nilivyoeleza awali kupitia Uzi ambao niliuweka week hii Nimeamua kuwaambia ukoo wangu, Kuanzia Mama sina Baba R.I.P Mashangazi, Baba Mdogo na wajomba nia yangu ya dhati kuiomba msamaha familia ya ambaye alikuwa mchumba wangu, Naenda kuomba msamaha nikitegemea maswali magumu, Naenda...
  14. roselina john

    Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

    Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa, Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ...
  15. S

    Hivi kina dada mnapofiwa na wakwe zenu huwa mnahuzunika kweli?

    Wadau ni wazi kuwa katika maisha yetu ya kisasa, kina dada wengi huwa wanawachukia wakwe zao wa kike na wifi zao, hasa pale Mama wa Mume anapoona kachoka na hivyo angehitaji kuishi kwa mwanawe wa kiume ili kupata matunzo na uangalizi wa karibu lakini pia kufurahia matunda ya jasho lake katika...
  16. K

    Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

    Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
Back
Top Bottom