wadaiwa sugu

  1. Things Fall Apart

    HESLB na uzembe wa kujibu mail na kupokea simu

    Habari wanajamvi, Leo ninaleta kero hii kuhusu hiki kitu kinachoitwa HESLB, naam namaanisha Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania. Ni majuzi tu mheshimiwa Rais JPM alitengua uteuzi wa bwana mmoja aliyekuwa mkurugenzi mtendaji kwa muda mrefu sana ndugu George Nyatega ili kuhuisha...
  2. Tatu

    Je APP Mpya Itakuwa ni Dawa Ya Wadaiwa Sugu

    Katika harakati zangu katika mtandao wa Google Play wa kutafuta dawa ya baadhi ya watu ambao ni wadaiwa sugu na wamekuwa wakinipiga chenga kwa ahadi za uongo kila kukicha, nimefanikiwa kupata app inayoitwa YOMM iliyotengenezwa na kampuni ya ZaidiSoft. Hii app inamuwezesha mtumiaji kuweka...