viungo vya chai

  1. P

    Huu ni ujasiriamali mpya? Kuuza bidhaa na viungo vya chai masala kwenye magari ya abiria

    Moja ya maana ya neno Ujasiriamali ni kuja na njia mpya ya kufanya biashara na njia hiyo yaweza ikawa ni, kuuza, kusambaza, ufungashaji nk. Siku chache zilizopita nikiwa safarini naenda zangu Arusha, njiani kwenye basi walikuwa wakiingia wajasiriamali wanaouza bidhaa mbalimbali kuanzia, sabuni...