utwaha

  1. N

    twahara wa Manii

    Manii: ni maji meupe, mazito, yanayotoka kwa matamanio ya nguvu kwa kasi, na yanafuatiwa na ulegevu, na yana harufu inayofanana na yai lililoharibika. Nayo ni twahara, kwani lau yangekuwa najisi Mtume (s.a.w) angeamrisha yaoshwe. Na inatosheleza, katika kuondoa manii, kuyaosha yakiwa majimaji...
Top Bottom