unix


  1. x0rz

    Kwenye Unix, "kila kitu ni mafaili na pipelines"

    Habari, Jumuiya Unix JF! Baada ya kitambo kidogo, nimekuja na jambo kidogo la kufumbuana ufahamu kidogo kwa habari ya Unix. Ni concept moja katika Unix ambayo wachache walio bahatika ndio wanaoijua, na inafaida sana kuifahamu, wewe kama mtumiaji wa Unix wa kawaida na hata sisi Hackers. Hivo...
Top