umrah


  1. N

    Wajibu za Umara

    1. Kuhirimia kutoka kwenye mahali palipowekewa kuhirimia, kwa neno lake mtume (saw) baada ya kutaja sehemu za kuhirimia: (Sehemu hizo zimewekewa watu wa hapo na wasiokuwa watu wa hapo kati ya wale wanaofika hapo miongoni mwa wanaotaka kuhiji au kufanya Umra) [Imepokewa na Bukhari.]. 2. Kunyoa...
Top