ukatili polisi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
  2. Erythrocyte

    Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

    Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki. Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani. PIA SOMA - Kamanda Muliro: Malisa GJ...
  3. BARD AI

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii. Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao...
  4. J

    Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii!

    Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii ina kufanikisha na kufanikiwa kuuona mwili wa ndugu yao aliyepotea ghafla Source: Mwananchi Pia soma - Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob...
  5. J

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi. Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi...
  6. JanguKamaJangu

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi maarufu kama Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na...
  7. mirindimo

    Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024. Inadaiwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi maeneo ya Kariakoo na baada ya hapo...
  8. BARD AI

    Aliyemchoma Mwanamke visu 25 na kumsababisha Kifo afariki dunia akiwa chini ya ulinzi

    Mtuhumiwa anayedaiwa kusababisha kifo cha Beatrice Minja kwa kumchoma visu mara 25, Lucas Tarimo amafariki dunia akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi wakati akiendelea na matibabu katika hospitali ya Huruma iliyopo Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro. Daktari kiongozi wa Hospitali ya Huruma...
Back
Top Bottom