ujenzi wa ofisi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Erythrocyte

  Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

  Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma. Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo Mungu ibariki Chadema Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
 2. Erythrocyte

  Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

  Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee. Hebu jionee mwenyewe
 3. Erythrocyte

  Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

  Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
 4. Mmawia

  Video: Freeman Mbowe ahimiza ujenzi wa ofisi za CHADEMA nchi nzima

  Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima. Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na wananchi wenye mapenzi mema na nchi yao.
Top Bottom