uhauri

  1. Hans Wambura

    USHAURI

    UBORA WA ELIMU Nshukuru kauri ya waziri wa elimu juu ya ubora wa elimu kama kipaumbele chake cha kuanzia ktk majuku yake ktk wizara hii nyeti. kwangu mimi inanikera kuona watendaji tukio chini hatuzingatii ubora bali wingi na sifa za majigambo kwa kufaulisha wengi bila kujali mwanafunzi ana...