ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  2. J

    Ufisadi wadaiwa kutamalaki Ngara

    Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo. Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED na mhanfdsi wa ujenzi wa halmashauri wameshindwa kusimamia miradi na kupelekea ubadhirifu wa fedha...
  3. Suley2019

    Wizara ya Afya yadaiwa kuhusika katika ufisadi wa bilioni 4.8

    Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini. Mashirika ya kimataifa yanadaiwa kutoa fedha kwa ajili ya kufanya kampeni kuhamasisha wananchi...
  4. Stuxnet

    DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  5. thetallest

    Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  7. chiembe

    Je, CHADEMA wanafaa kukabidhiwa nchi?

    Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
  8. A

    DOKEZO Kuna harufu ya ufisadi Kamati ya Olimpiki Tanzania

    Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games). Tanzania ni...
  9. mwanamichakato

    Ufisadi nyangumi; Tatizo la umeme, umaskini endelevu

    Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa watendakazi wa chini.Refer DOWANS,Richmond,Symbion,IPTL na sasa Gas. Wafanyabiashara na matajiri...
  10. Ze Heby

    Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  12. Ileje

    Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
  13. Lady Whistledown

    Guinea: Mwandishi wa Ufaransa akamatwa kwa kuchunguza Ufisadi wa Maafisa wa Serikali

    Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo Vyanzo vya Habari vinasema...
  14. GoldDhahabu

    Ufisadi Tanzania: Tatizo ni Serikali au wananchi?

    1. Ukifanya kazi kwenye baadhi ya taasisi nyeti za umma kama TRA, Bandari, Polisi hasa TRAFFIC, n.k., usipoonekana unapata mafanikio ya harakaharaka, utaitwa mjinga usiyejua "kuchukua " hela zilizo nje nje 2. Kwa sasa ukienda kwenye baadhi ya maduka yanayotoa risiti ya EFD, ukitaka risiti...
  15. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu amjibu Rais Ruto “Madai ya ufisadi Mahakamani, yawasilishwe Tume ya Utumishi wa Mahakama na sio katika hafla za umma

    Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu, Martha Koome amelaani matamshi hayo akifai yanagusa masuala yaliyopo Mahakamani na yanaweza kuwatisha...
  16. J

    Hayati Magufuli kama alikuwa anapambana na ufisadi, kwa nini asingefanya kama huyu shujaa?

    Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi, Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda...
  17. BARD AI

    Rais Mstaafu wa Mauritania afungwa miaka 5 jela kwa makosa ya ufisadi

    Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
  18. Influenza

    Afrika Kusini wanafanyia kazi Matokeo ya Tume iliyochunguza Ufisadi. Tanzania tunaishia kwenye kuunda Tume tu

    Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21 Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
Back
Top Bottom