ubongokid

  1. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu. Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama nyiiingi, kuhusu biashara - Wahuni wameisha jenga ngome yao pale Brela. wako kwa ajiri ya Maslahi...
Top Bottom