twahara

 1. N

  Hukmu Ya Manyoa Ya Mbwa Anayefugwa Nyumbani

  SWALI: Asalamu aleykum. Nimeowa mwanamke waki Irish mwenye tabia ya kuniongelesha kwa ukali na inanifanya mimi kuelekea kumchukia mwaka wa 5 na hali ni the same. Haniamina ilihali mimi ni muaminifu ana wivu kiasi cha kuitilafia shughuri au kazi zangu zakupatia rizki. Pia amefuga mbwa mdogo...
 2. N

  Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kuingia Katika Chumba Cha Kuswalia?

  SWALI: Assalam aleykum warahamatullahi wabarakatu swali langu la leo ni kuwa hapa chuo naposoma waislamu tumejiunga na tumeanzisha chama cha kufundishana kuhusu Uislam, hapa hostel tunasehemu inaitwa prayer room.. sasa swali langu linauliza je mimi kama mwanamke naruhusiwa kuingia kwenye prayer...
 3. N

  2. Hukumu ya kukatika katika kwa hedhi:

  Mwanamke aonapo damu siku moja na kukatika siku moja na mfano wake, basi yeye ni mojawapo wa hali mbili 1. Hali hiyo iendelee na yeye kila wakati: Basi hiyo ni damu ya istihadhah 2. Iwe yakatikakatika: Kwa namna ya kwamba ikawa yamjia wakati mwingine na atwahirika wakati mwingine. Basi hukumu...
 4. N

  Hesabu ya muda wa kupangusa

  Hesabu ya muda wa kupangusa Muda unaanzia mwanzo wa kupangusa baada ya kutangukiwa na udhu. Avaapo soksi mbili akiwa kwenye hali ya utwahara, kisha akaukosa twahara kwa mara ya kwanza, basi kuanzia kupangusa huku kutahesabiwa usiku na mchana (masaa ishirini na nne). Mfano wake ni mtu...
 5. N

  Makombo ambayo ni twahara

  Makombo ambayo ni twahara a. Makombo ya mwanadamu: Kwa hadithi iliyoyhibiti kwamba Mtume ﷺ alikuwa akinywa makombo ya Aishah na hali Aishah yuko katika hedhi, na akiweka kinywa chake mahali Aishah alipoweka kinywa chake[Imepokewa na Muslim.] https://www.al-feqh.com/sw/makombo
 6. N

  Kutahiri na kupasha tohara

  Kumtahiri mwanamume Ni kuondoa kigozi kinachofunika kichwa cha dhakari kwa mwanamume. Kumpasha tohara mwanamke Ni kukata kinyama kilichozidi kilichoko juu ya sehemu ya kuingiza dhakari ya mwanamume. Kutahiri ni kwa mwanamume, na kupasha tohara ni kwa mwanamke kwa kuwa mtume ﷺ alimwambia Ummu...
Top Bottom