tutor b


  1. Tumaini Nzogela

    "Kiburi za Msimu wa Korosho Kanda ya Kusini."

    Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini. Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme utachochea Mapinduzi ya Kifkra na Maendeleo Kwa Wananchi wetu Vijijini Udumu Serikali yetu ya CCM...
  2. SANCTUS ANACLETUS

    Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Ninakiri kwamba nimekutana na uzi wa mwana-JF, “King Mufasa” leo ukihoji uaminifu walio nao mapadri wa Kanisa Katoliki,mintarafu utunzaji wa siri za mambo yanayojiri wakati sakramenti ya Upatanisho. Kimsingi ukisoma katikati ya mistari ya mtoa uzi, utagundua kwamba mtoa mada ni Mkatoliki...
Top