ttms

  1. Ex Spy

    Mtambo Mpya wa Ufuatiliaji Mawasiliano nchini (TTMS): Kwanini sasa? Nini kipya?

    Wakuu, Nianze kwa kuwasalimia baada ya kimya cha muda mrefu na kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya 2019. Twende kwenye hoja yangu: Serikali ya Awamu ya 5 inaenda kuzindua "Mtambo Mpya" wa 'udhibiti' wa Mawasiliano maarufu kama "Telecommunications Traffic Monitoring System (TTMS)". Kwa wengine...
Top Bottom