• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

top sites in tanzania

  1. miki123

    JamiiForums Imewezaje Kuipita Facebook na Yahoo kwa Watembeleaj wengi?

    Miaka mitatu iliyopita jamiiforums ilishushwa umaarufu wake na millardayo kwa kuwa na watembeleaji wengi. Lakini takwimu za leo za Top Sites in Tanzania - Alexa Zinaonyesha JF ndio mtandao wa tatu tz kwa kuwa na watembeleaji wengi na kuzipita facebook na yahoo. Home of great thinkers imezidiwa...
Top