tl. marandu

 1. TL. Marandu

  Taifa linahitaji sera, mipango na sheria kuhusu mapenzi ya jinsia moja

  Mimi Nitoe Mtazamo wangu, ambao Ninautoa Kwa Watu wa Taifa Fulani ambao Kwao Ushoga ni Swala ambalo sasa ati wanataka Kulihalalisha Mpaka Kwenye Ndoa. Bila Unafiki au hisia za aina yoyote Niseme Mashoga Wapo Kwenye Makundi. Kundi la Kwanza ambalo Ni Kubwa Karibu 80(Kwa Mtizamo wangu) Ni wale...
 2. TL. Marandu

  Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchema alipotosha sana Watanania Juu ya Udictator Nchini

  Mwigulu Nchema amesema Bungeni, Baada ya Kuulizwa swali la Kupangwa na Mbunge Stooge anayefikiria na Makalio, Kuwa ati, 1) Wapinzani wakifanya Maafali, Ni Ukaidi wa Kupinga sheria kwa Hiyo watakamatwa Viongozi. 2) Akiuawa Mpinzani na wana CCM kama Alivyouawa Mawazo, Wapinzani Wakienda Kuzika...
 3. TL. Marandu

  Sababu ya matatizo ya Dar es Salaam hii hapa

  Nilikuwa Nimekaa Kimya na Utafiti wangu kwa sababu za Kisiasa, Lakini Nimeona hii itakuwa sawasawa na Mchawi Nikinyamaza. Sitajali tena ni nani atakayetatua Tatizo hili kwa Kufuata Ushauri wangu huu, Bali cha msingi Shida hiii iishe. Shida ya Dar es salaam ni nini? Ni Msongamano wa Watu...
 4. TL. Marandu

  Bunge Kuendelea Mafichoni, Uwongo wa Magufuli/CCM

  Miezi Michache iliyopita Waziri wa habari alilitaarifu Bunge Kuwa Serikali imesitisha Mataangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge kwa ajili ya Kubana Matumizi, Huu nilijua ni Uwongo, Uwongo wa Serikali ya CCM, Kwani waliamini Kuwa Njia pekee iliyowapa Upinzani Kukubalika na Wananchi ni Matangazo ya...
 5. TL. Marandu

  Donald Trump Hawezi Shinda Urais Marekani Nov 2016

  Kuna wanaoamini Trump, Atakuwa Rais wa 45 wa Marekani Katika Uchaguzi wa Nov 2016, Iwapo Akishinda Tikiti kwa Chama chake huo utakuwa ndio ukomo wa safari yake ya Kujikweza, Ubaguzi na Kebehi Hawezi Kushinda, Wanaomshabikia, Trump kwao Ni Kama Kioo, Anaakisi Tabia zao, Anasema maneno ambayo...
 6. TL. Marandu

  Kupiga Wabunge, ni dharau kwa Watanzania

  Huko siku za Nyuma, Nilishawahi Kulalamika sana Kuhusu wabunge wa Upinzani, Kukamatwa Hovyo na Kupigwa wakiwa katika shughuli zao huko Mitaani. Hiyo ilikuwa ni Katika Serikali za Kikwete. Ungelitegemea Magufuli niliyemdhania kuwa Muugwana, Mkweli, Mpenda haki, angekomesha tabia hii chafu...
 7. TL. Marandu

  Jecha alitumwa na nani kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

  Hivi Kweli Watanzania Mnaamini Jecha alikurupuka na Kufuta Uchaguzi wa Sehemu ya Nchi, Jambo la Hatari hivyo, Bila Kushauriana na Watu Fulani Fulani? Alipelewaje Majeshishi? Ukweli ni Kuwa, Kikwete na Mkapa ndio waliomtuma Jecha. Period. Wasitudanganye. Unaweza Kufanya Jambo la hatari lenye...
 8. TL. Marandu

  MPANGO WA KUANGANIZA HISTORIA YA AFRICA

  Kuna Udanganyifu uaofanywa wa Kuandika Upya Historia. Mara nyingi wanaofanya Hivyo Ni wahalifu wanaotaka si tu kuwadanganya Jamii ya watu Waliopo kuhusiana na Maswala fulani ya Kijamii, Bali wahalifu hawa wanahakikisha hata vizazi Vijavyo vitaendelea kuamini Uwongo wao. Mara baada ya Kuanza kwa...
 9. TL. Marandu

  Usaliti wa bara la Afrika na dhana ya ukombozi

  Hakuna mbari yoyote ya wanadamu katika historia ya dunia, mbari ya watu walioteswa, walioonewa na kufanyiwa maangamizi ya ajabu kama mbari ya watu wa afrika. Africa imepitishwa katika misiba na masahibu ya kutisha sana ya wa biashara ya utumwa iliyoanzishwa kidodo kidogo miaka ya 1200 mwishoni...
 10. TL. Marandu

  Mimi ndiye niliyeanzisha msemo wa jipu kabla ya Rais Magufuli

  Kwa ajili ya Record to Ningependa Kusema Mimi Ndiye ambaye Nilitumia Msemo wa JIPU, (Sisemi Kuwa Magufuli anafanya Vibaya Kulitumia, Nimesema tu kwa kuwa Nasikia Limevuma huko bongo Kila mahali Jipu, Majipu. Sina Ugomvi Kabisa na Rais Magufuli wala sina nia ya kumfanyia ufidhuli Magufuli kwa...