tiba ya kienyeji

  1. shirima-wa-pili

    Faida za Aloe vera kwa kuku jamii ya Broiler.

    mmea wa aloe vera umekua ukitumika kwa miaka mingi kama tiba na kinga kwa binadam na mifugo. Hali iyo ilipelekea shirika la US National Library of Medicine,pamoja na vet world,kufanya utafiti katika mmea huu pamoja na majaribio yale kua na majibu mazuri zaidi. Utafiti huo ulifanyiwa majaribio...
Top Bottom