tenses

  1. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu . g Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au litafanyika . Katika kiingereza kuna tenses ( nyakati ) kuu tatu , ambazo ni : The present tense (...
Top Bottom