swalah

 1. N

  Swalah ya msafiri

  Msafiri ameruhusiwa na Sheria kupunguza Swala za rakaa nne-nne (Adhuhuri, Alasiri na isha) kuzifanya rakaa mbili-mbili, pia kukusanya Swala ya Adhuhuri pamoja na Alasiri na ya Magharibi pamoja na Isha, kwa neno la Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka: {Na mkisafiri kwenye safari, si makosa kwenu nyinyi...
 2. N

  - Adhana ya Swala ya Alfajiri

  Alfajiri imewekewa adhana mbili: ya kwanza ni kabla ya kuingia wakati, na ya pili ni ya kujulisha kuwa wakati umeingia ili watu wahudhurie kuswali. Katika adhana ya kwanza, mwadhini anatakiwa aseme: “Swala ni bora kuliko kulala” mara mbili, kwa kuwa Mtume ﷺ alisema: Ukiadhini adhana ya kwanza ya...
 3. N

  Namna ya kuadhini na kukimu

  1. Namna ya kuadhini: (Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, Allaahu akbar. Ash’hadu an laa ilaaha illa Allah, Ash’hadu an laa ilaaha illa Allah.Ash’hadu anna Muhammadan Rasuulu-Allah, Ash’hadu anna Muhammadan Rasuulu-Allah, Hayya ‘ala ssalaah, Hayya ‘ala ssalaah. Hayya ‘ala l falaah...
 4. N

  kutawadha ni kitu muhimu katika nguzo ya kuswalah

  1.Kuhudhurisha nia moyoni. 2.Kutaja jina la Mwenyezi Mungu kwa kusema “bismillah” 3.Kuosha vitanga viwili vya mikono (mara tatu) 4.Kupiga mswaki: na mahali pake ni wakati kusukutua. 5.Kusukutua na kupaliza maji puani na kuyatoa.(mara tatu) Madhmadhah: kutia maji kinywani na kuyageuza...
 5. N

  Swala ya kuomba Mvua

  Linalopendekezwa wakati mvua inaponyesaha Inapendekezwa, mvua inaponyesha kwa mara ya kwanza, kusimama na kujitia mvuani, kwa kuwa Mtume ﷺ alifanya hivyo katika hadithi iliyopokewa na Anas t akisema: (Tulinyeshewa na mvua na sisi tuko na Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ. Asema: Mtume ﷺ akafunua nguo...
 6. N

  Sunna za kuadhini

  1. Kuelekea Kibla. 2. Kutwahirika kwa mwadhini kutokana na hadathi mbili. 3. Kuzunguka katika ha-yaa Ala(Swala/Falaa) mbili, nazo ni anaposema: Ha-yaa Ala Swalat. Ha-yaa Alal Falah, kuliani na kushotoni. 4. Mwadhini aweke vidole vyake viwili vya shahada masikioni mwake. 5. Mwadhini awe na...
 7. N

  Fadhla za Saumu siku ya Ashuraa

  Fadhla za Saumu Asema Mwenyezi Mungu { Enyi mlo Amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andkikwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kucha mungu.(Mfunge) siku maalumu za kuhisabika.na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimiza hisabu katika siku nyingine. Na wale wasio weza...
 8. N

  Tetesi: 🌺kila mtu anatamani kukamilisha swala yake na kuna njia nyingi kufanya haya kama sunna kusoma qur an au kuomba baada ya swala.😍

  Miongoni mwa dua baada ya Swalah - ASTAGHFIRU LLAH (Namuomba Mwenyezi Mungu msamaha) (mara tatu), ALLAHUMMA ANTASSALAAM WAMINKA SSALAAM TABAARAKTA YAA DHAL’JALAALI WAL’IKRAAM (Ewe Mola! Wewe ni Amani, na amani inatoka kwako, Umetukuka, ewe Mwenye utisho na utukufu) [ Imepokewa na Muslim.]...
Top