swalah


 1. N

  Swala ya Witr

  Hukumu ya Swala ya Witri na Fadhla zake Witri ni sunna iliyotiliwa mkazo. Mtume ﷺ anasema: (Hakika Mwenyezi Mungu ni Mmoja, Anapenda Swala ya Witri basi Swalini Witri enyi watu wa Qur’ani ) [Imepokewa na Abu Daud.]. Na alikuwa Mtume ﷺ akidumu nayo akiwa mjini na akiwa safarini Namna ya kuswali...
 2. N

  Miongoni mwa dua baada ya Swala

  - ASTAGHFIRU LLAH (Namuomba Mwenyezi Mungu msamaha) (mara tatu), ALLAHUMMA ANTASSALAAM WAMINKA SSALAAM TABAARAKTA YAA DHAL’JALAALI WAL’IKRAAM (Ewe Mola! Wewe ni Amani, na amani inatoka kwako, Umetukuka, ewe Mwenye utisho na utukufu) [ Imepokewa na Muslim.]. (Hapana Mola isipokuwa Mwenyezi Mungu...
 3. N

  swalah ya jamaa

  Hadithi iliyopokewa na Abu Hurarah t kwamba Mtume ﷺ alisema: (Swala nzito zaidi kwa wanafiki ni Swala ya Isha na Swala ya Alfajiri. Na lau wao walijua Yaliyomo kwenye Swala mbili hizo, wangaliziendea japo kwa kujikokota [ Habwan: kujikokota kwa kitako.]. Na mimi nilidhamiria kutoa amri Swala...
 4. N

  swalah ya ijumaa

  Sunna ya baada ya Ijumaa inaswaliwa rakaa mbili kwa hadithi iliyopokewa na Ibnu ‘Umar t kuwa alisema: (Alikuwa Mtume wa Mwenyezi ungu ﷺ akiswali rakaa mbili baada ya Ijumaa nyumbani kwake) [Imepokewa na Jamaa.], au nne, kwa neno la Mtume ﷺ: (Atakayekuwa ni mwenye kuswali miongoni mwenu baada ya...
 5. N

  Faradhi za udhu

  1.Kutia nia. Na mahali pake ni moyoni, wala haitamkwi. Na lau mtu afanya matendo ya kutawadha kwa lengo la kujiburudisha au kujinadhifisha, bila ya nia ya kutawadha, basi hilo halimtoshelezi. 2.Kuosha uso. Na miongoni mwa huko ni kusukutua na kupaliza puani. 3.Kuosha mikono miwili pamoja na...
 6. N

  Swalah ya mwenye kukaa

  a. Katika Swalah ya Sunna: Swala ya mwenye kukaa ni sahihi na thawabu zake ni nusu ya zile za mwenye kuswali kwa kusimama, kwa kuwa Mtume (S.A.W) alisema: (Akiswali kwa kusimama, basi hivyo ni bora. Na mwenye kuswali kwa kukaa basi thawabu zake ni nusu ya thawabu za mwenye kusimama. Na mwenye...
 7. N

  Swalah ya Kuomba Mvua

  Dalili ya Usheria wa Swalah ya Kuomba Mvua Swalah ya kuomba mvua ni sunnah iliyotiliwa mkazo kwa kitendo cha Mtume ﷺ, kama ilivyo kwenye hadithi iliyopokelewa na Abdullah bin Zaid t kwamba Mtume ﷺ alitoka kwenda kwenye kiwanja cha kuswali akaomba mvua, akaelekea Kibla, akageuza kishali chake na...
 8. N

  Swala ya mtoto

  Mtoto anaamrishwa kuswali akifika miaka saba, kwa kumzoeza, na anapigwa kwa kuiacha afikapo miaka kumi kipigo kisichoumiza. Amesema Mtume ﷺ: (Waamrisheni watoto wenu kuswali wakiwa ni vijana wa miaka saba, na wapigeni kwa kuiacha swala wakiwa ni vijana wa miaka kumi)) [ Imepokewa na Abu Daud.]...
 9. N

  Miongoni mwa Hukumu za kuweka Kizuizi

  Mwanamke kuharibia watu Swalah Hakuna, katika hadithi iliyopita kuwa kupita mwanamke humuharibia mtu Swala, kumfananisha mwanamke na punda na mbwa mweusi. Vitu vitatu kutajwa kwenye mfumo mmoja haina maana kuwa sababu zake za kuharibu Swala zinafanana. Yaani haimaanishi kuwa sababu ya kuwa mbwa...
 10. N

  Hukuma ya kuweka kizuizi cha mwenye kuswali

  Kuweka kizuizi ni lazima, kwa kuwa Mtume ﷺ ameamrisha kuweka kizuizi kwa imamu na pia mwenye kuswali peke yake na amehimiza hilo. Kwa hivyo inatakikana kwa Muislamu aweke kizuizi mbele yake aswalipo na amzuie mwenye kupita baina yake yeye na kile kizuizi alichokiweka, kwa kauli yake Mtume ﷺ...
 11. N

  Aina za Swala ya sunnah

  Swala ya sunna ni aina nyingi: Muhimu zaidi ya hizo ni zifuatazo: Kwanza: Sunna za ratiba Nazo ni sunna zenye kufuata Swala za faradhi Na jumla ya sunna za ratiba ni rakaa kumi au rakaa kumi na mbili, nazo ni: - Rakaa mbili kabla ya Alfajiri. - Rakaa mbili kabla ya Adhuhuri au nne na rakaa...
 12. N

  kesho ni siku ya ijumaa isa

  Ubora wa siku ya Ijumaa Siku ya Ijumaa ni bora ya siku za wiki ambayo Mwenyezi Mungu Amewahusu nayo Waislamu baada ya umma wengine kuwapotea. Na zimekuja hadithi nyingi kuhusu ubora wake, miongoni mwazo: 1. Neno lake Mtume ﷺ: ( Siku bora iliyotokewa na jua ni siku ya Ijumaa. Katika siku hiyo...
 13. N

  Kurukuu na kuinuka kotoka kwenye rukuu

  - Mwenye kuswali atainua mikono yake na alete takbiri hali ya kuinama kwende kwenye rukuu, aiweke mikono yake juu ya magoti yake, huku amekunjua vidole vyake kama kwamba anayashika magoti, asawazishe mgongo wake na kichwa chake katika hali ya kuinama kisha aseme: SUBHANA RABIYAL ADHIIM...
 14. N

  Dua ya kufungulia Swalah na kusoma Fatiha

  - Mwenye kuswali ainamishe kichwa chake, atazame mahali pa kusujudia, kisha aseme: SUB’HANAKA ALLAHUMMA WABIHAMDIKA, TABAARAKA IS’MUKA WATA’AALA JADDUKA WALAA ILAAHA GHAY’RUKA (Kutakasika ni kwako na sifa njema ni zako. Lina baraka jina lako na uko juu utukufu wako, na hakuna mola asiyekuwa...
 15. N

  Namna ya kuswalia maiti(jeneza)

  Atasimama imamu kwenye kichwa cha maiti iwapo ni mwanamume, na katikati ya maiti iwapo ni mwanamke. Na maamuma watasimama nyuma yake kama ilivyo kwenye Swala nyingine, kisha atapiga takbiri nne kama ifuatavyo: 1. Atapiga takbiri ya kwanza, nayo ni takbiri ya kufungia Swala, na ataleta Audhu...
 16. N

  Swalah ya msafiri

  Msafiri ameruhusiwa na Sheria kupunguza Swala za rakaa nne-nne (Adhuhuri, Alasiri na isha) kuzifanya rakaa mbili-mbili, pia kukusanya Swala ya Adhuhuri pamoja na Alasiri na ya Magharibi pamoja na Isha, kwa neno la Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka: {Na mkisafiri kwenye safari, si makosa kwenu nyinyi...
 17. N

  - Adhana ya Swala ya Alfajiri

  Alfajiri imewekewa adhana mbili: ya kwanza ni kabla ya kuingia wakati, na ya pili ni ya kujulisha kuwa wakati umeingia ili watu wahudhurie kuswali. Katika adhana ya kwanza, mwadhini anatakiwa aseme: “Swala ni bora kuliko kulala” mara mbili, kwa kuwa Mtume ﷺ alisema: Ukiadhini adhana ya kwanza ya...
 18. N

  Namna ya kuadhini na kukimu

  1. Namna ya kuadhini: (Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, Allaahu akbar. Ash’hadu an laa ilaaha illa Allah, Ash’hadu an laa ilaaha illa Allah.Ash’hadu anna Muhammadan Rasuulu-Allah, Ash’hadu anna Muhammadan Rasuulu-Allah, Hayya ‘ala ssalaah, Hayya ‘ala ssalaah. Hayya ‘ala l falaah...
 19. N

  kutawadha ni kitu muhimu katika nguzo ya kuswalah

  1.Kuhudhurisha nia moyoni. 2.Kutaja jina la Mwenyezi Mungu kwa kusema “bismillah” 3.Kuosha vitanga viwili vya mikono (mara tatu) 4.Kupiga mswaki: na mahali pake ni wakati kusukutua. 5.Kusukutua na kupaliza maji puani na kuyatoa.(mara tatu) Madhmadhah: kutia maji kinywani na kuyageuza...
 20. N

  Swala ya kuomba Mvua

  Linalopendekezwa wakati mvua inaponyesaha Inapendekezwa, mvua inaponyesha kwa mara ya kwanza, kusimama na kujitia mvuani, kwa kuwa Mtume ﷺ alifanya hivyo katika hadithi iliyopokewa na Anas t akisema: (Tulinyeshewa na mvua na sisi tuko na Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ. Asema: Mtume ﷺ akafunua nguo...