swalah sahihi

  1. N

    unajua masharti ya swalah sahihi katika uislamu

    kuingia wakati Swala ya faradhi ina wakati ambao haiswihi kabla yake, wala baada yake isipokuwa kwa dharura. Asema Mwenyezi Mungu aliyetukuka: { Hakika Swala kwa Waumini ni faradhi iliyo wekewa nyakati maalum} [4: 103], yaani imefaradhiwa katika vipindi maalumu
Top Bottom