swala ya jeneza


  1. N

    Hukumu ya kumuosha maiti

    1. Yatakikana achaguliwe mtu mwaminifu wa kuosha maiti, pai awe mjuzi wa hukumu za kuosha. 2. Hutangulizwa kuosha yule mtu ambaye maiti mwenyewe alikuwa ameusia aoshwe na yeye. Kisha yule aliye karibu zaidi na maiti, iwapo ana ujuzi wa hukumu za kuosha. Akitokuwa hivyo, basi atatangulizwa...
Top