sektabinafsi

  1. D

    Nafasi 3 za kazi katika kituo cha massage

    Kazi ni massage service. Sifa za waombaji 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo...
  2. P

    utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua

    Habari zenu wakuu wa humu jf naombeni msaada kwa anayefahamu juu ya utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua anipe ABC juu ya mchakato mzima kam vifaa .a mahitaj mengne na pia juu ya upatikanaji wa soko kama unafahamu lolote tupia comment apa wakuu swala la ajira limekuwa changamoto hivo nipo...
Top