rubii

 1. Joseverest

  Wanawake: Aina 5 za wanaume wa kuwaepuka kwenye mahusiano

  Wasalaam wakuu....Baada ya salamu naenda moja kwa moja kwenye mada Wanaume kama ilivyo kwa wanawake, na sisi tuna saikolojia yetu ya maisha. Usipotuelewa unaweza ukatuchukia wanaume wote duniani kwa sababu ya mwanaume mmoja au wawili uliowahi kuwa nao kwenye mahusiano. Niseme tu jambo moja...
 2. THT

  Sidumu kwenye mahusiano, tatizo langu ni lipi?

  Habari za mchana, Mwenzenu nina tatizo yaani siwezi kudumu kwenye mahusiano wanaomipenda mimi siwapendi lakini nikiwapenda baada ya muda wananipotezea, nilikuwa na mwanaume mwanajeshi mwanzoni akawa ananipigia simu sana, hospitali akawa ananipeleka yeye mwenyewe. Baada ya muda nikawa nikiugua...
 3. THT

  Jamani hebu tusaidiane mawazo

  Natumaini mu bukheri wa afya, Kuna kitu nimejiuliza sana nikakoswa majibu nikaona sio vibaya nikiwashirikisha tukasaidiana, tukaelezeana na kupeana ujuzi na uzoefu kila mmoja alionao. Hivi haya matatizo ya wanawake kuwa na maji mengi sehemu za siri, kuwa na uchi mpana, kutokuwa mtamu kama watu...
 4. Kakole

  Heshima pesa shikamoo makelele

  Niaje wakuu!! Hii ni kwa wanaume Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele. mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote...
 5. M

  THE HOME TUITOR PCM TEACHER IS AVAILABLE HERE

  Kwa wazazi wenye uhitaji wa watoto wao kufundishiwa nyumbani ili kumuepusha mtoto na foleni na fujo za hapa mjini,, mwalimu mzuri wa PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS ninapatikana,, ninapatikana kwa simu namba 0658104842 na email albertomnene@yahoo.com,,,,,,,, nipo tayar...
 6. P

  Ajabu ya mwanamke kushika mimba jela Vietnam

  Image copyright Thinkstock Image caption Inadaiwa mwanamke huyo alilipa $2,300 Askari jela wanne nchini Vietnam wamesimamishwa kazi kwa kosa la kuzembea kazini baada ya mfungwa wa kike aliyehukumiwa kunyongwa kushika mimba. Wachunguzi wanasema Nguyen Thi Hue, 42, alijitungisha mimba kwa...
 7. P

  Kanye West aomba pesa kutoka kwa Zuckerberg

  Image copyright Reuters Image caption Kanye West alisema majuzi kwamba anadaiwa $53m Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha. West anataka Zuckerberg awekeze $1bn (£700m) katika miradi yake akisema yeye binafsi hana...
 8. P

  Mbunge Zimbabwe avunja rekodi ya busu Afrika

  Image caption Mbunge Joseph Chinotimba Zimbabwe Mbunge mmoja nchini Zimbabwe Joseph Chinotimba ameingia katika kumbukumbu za Afrika baada ya kumbusu mke wake Vimbai kwa muda mrefu zaidi kuwahi kunakiliwa barani Afrika. Mbunge huyo na mkewe walizoa tuzo hilo baada ya kupigana busu kwa dakika 10...
 9. P

  Onyo: Ukivunja ahadi ya ndoa ni ubakaji India

  Image caption Onyo: Ukivunja ahadi ya ndoa ni ubakaji India Polisi nchini India wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Scotland kwa madai ya ubakaji baada ya kuvunja ahadi ya ndoa na mwanamke aliyeshiriki ngono naye. Mtu huyo alituhumiwa kwa kosa hilo baada ya aliyekuwa mpenziwe kumshataki kuwa...
 10. P

  Kijana aliyetegua kitendawili cha Kanye West

  Image copyright Image caption Kanye West ametoa albamu mpya Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake. Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu herufi TLOP zinasimamia nini kwenye jina la albamu ya...
 11. P

  Tausi kuorodheshwa ndege waharibifu India

  Image copyright AP Image caption Tausi Jimbo moja nchini India limependekeza kumuorodhesha tausi miongoni mwa ndege waharibifu ,kulingana na vyombo vya habari. Waziri wa kilimo katika eneo la Goa Ramesh Tawadkar amesema kuwa tausi wanaharibu mimea na huenda wakakatwa midomo. Tumbili,Ngiri pia...
 12. Binti1

  Raha ya Nazi Bwana jua Matumizi yake

  Wengi huwa wanalalamika kwasababu hawajui matumizi ya nazi. Nazi si ya mboga tu...ina matumizi mengi. Wanasema mchagua Nazi hupata koroma...Lakini wanasahau koroma hilo linakazi nyingi; unaweza tengeneza mafuta ya ngozi na pia kifuu ukatengenezea upawa kwa hiyo hiyo koroma!!Haiwezekani kabisa...