rohoyakorosho

  1. Kaka Pekee

    Roho ya Korosho wahenga waliona mbaaaaliiii

    LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:- Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa...
Top