• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

rmj

  1. Z

    Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

    Nilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona anashangaashangaa pale parking nikamtania kwamba yeye ni mwanakondoo mwenzangu hivyo naweza nikamdrop huko...
Top