• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

prondo

  1. LJ BLOG

    Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

    Habari wanazengo wa JF kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuomba kupata ufafanuzi zaidi kuhusiana na Gari hii ya TOYOTA CROWN MAJESTA ambayo kiukweli nimetokea kuikubali na kuipenda na moja ya sababu ya kuipenda ni kuwa na injini ya mfumo wa V8 na mifumo mingine mingi tu kama SUPERCHARGE option...
Top