penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. Money Penny

    Penzi la sugar daddy linamtesa, afanyaje?

    Mamdogo Penny Money Penny enhe! Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy money penny: kwanini? mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3 money penny: ana umri gan Mwana: na miaka 83 Money Penny: mkewe? Mwana:alishakufa Money penny: sasa shida ni mkewe au round...
  2. Jaji Mfawidhi

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
  3. Tamu3

    Penzi la mwana wa Bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli nikailinda, nisiibiwe mjini...
  4. Tamu3

    Penzi la mwana wa bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI (sehemu ya kwanza) 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli...
  5. Tamu3

    Penzi letu la zamani

    Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati, Tulikutana mtoni, kuipanga mikakati, Halikuwa la kihuni, lisilo la kisaliti, Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati. Tulikutana porini, tunapookota kuni, Ugumu tulipateni, mpenzi kuweka ndani, Mahari ng'ombe sitini, mwari wamtoleeni, Penzi letu la...
  6. S

    Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  8. U

    Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  9. Mjanja M1

    Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen. Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi. ✍️ Mjanja M1
  10. buzitata

    Je, unakumbuka penzi lako la mbali liliishia wapi?

    Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona lakini ukawa na upendo naye sawa na unaishia naye jirani. Nakumbuka wakat fb,bbm,na Whatsapp...
  11. Mjanja M1

    Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

    Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa. Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi...
  12. Maleven

    Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza" Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole. Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka...
  13. Mhaya

    Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  14. Candela

    Anataka penzi la kisela

    Ebana wandugu, Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo. Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi. We ungefanyaje mdau.
  15. Nifah

    Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki? Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu. Lulu alienda kwa...
  16. Mjukuu wa kigogo

    Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  17. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  18. Hance Mtanashati

    Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

    Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
  19. Hance Mtanashati

    ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  20. Daydream

    Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam. Huyu binti kwanza alikuwa ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikuwa anataka kugundua nini. Ingawa nilikuwa...
Back
Top Bottom