otoro

  1. Khan

    Nataka Kujiunga na "Jesuit Fathers"

    Habari za Mchana Mwenzenu nimewiwa kujiunga na upadre ila nimependelea shirika hili la wajesuit, Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie nawezaje kujiunga na vigezo gani vinahitajika. Asanteni.
Top