online teachers employment application system


  1. tamsana

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Amani naiwe kwenu. Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment. Kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu. Please...
Top