Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
Huyu jamaa siku hizi yuko wapi??
Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius.
Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili.
Nafikiri atakuwa...
Wakuu poleni na majukumu.
Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA.
Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini
Kwa uzoefu wangu, baada ya...
Habari ya Jumapili waungwana!
Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!
Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS
1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa nyumbani utakuwa umejilindana Maradhi.
2) Njia kuu ya pili unapotka nje ya nyumba Tafadhali vaa Mask...
Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 10:15 jioni kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam
Wasafiri wanashauriwa kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza kuendelea na...
BARUA YA MAJIBU YA AWALI.
Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu;
Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu;
DAR ES SALAAM.
Tarehe15 Julai, 2019.
Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe...
Habarini wadau....
Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana
Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza.
Ni hivi, Nikisoma kitabu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.