not to that extent

  1. Sauti za Wananchi

    UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

    Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017 Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
  2. Magazetini

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt...
Top Bottom