njia ya saada


 1. N

  Dalili ya kuumbwa ulimwengu kwa kumpwekesha Allah

  Kwa hakika Ulimwengu huu mpana na yaliyomo ndani yake katika viumbe na miujiza ni ushahidi mkubwa wa utukufu wa uwezo wa Allah Ta’ala na ukamilifu wa maumbile yake na hii ni dalili ya kumpwekesha Allah Ta’ala, na kuwa hana Mola asiyekuwa yeye wala Mungu asiyekuwa Yeye, Allah Ta’ala amesema: “Na...
 2. N

  VIDHIBITI VYA DINI YA HAKI

  Ni vipi kila mwenye akida anavyoweza kutetea itikadi yake Mara zote kila mwenye itikadi au akida fulani ana yakini timilifu kuwa akida yake ndio itikadi iliyokuwa sahihi zaidi na ya haki kuliko itikadi nyingine, na kila mmoja anatofautiana na mwenye itikadi nyingine kwa kuthibitisha hilo; pale...
 3. N

  Je, mwanadamu ana haja ya dini?

  Mwanadamu kwa hali yoyote hawezi kuishi bila Dini, na kwa sababu mwanadamu ni mtu mwenye tabia ya kuingiliana na watu na hawezi kuishi peke yake huku akijitenga na jamii, nae vile vile katika maumbile yake ni mtu mwenye dini hawezi kuishi maisha ya sawa sawa bila kuwa na dini, swala la mtu kuwa...
Top