• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

new dodoma stadium

  1. figganigga

    Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

    Rais Magufuli alipokuwa Uwanja wa ndege wa Dodoma tarehe 29/04/2017, aliagiza Ujenzi wa Uwanja wa mkubwa wa michezo mkoani humo unaofadhiliwa na Mfalme wa Morocco ujengwe karibu na eneo la Nane Nane mkoani Dodoma. Aidha, Rais Dkt. Magufuli alisema kuwa anataka uwanja huo uwe mkubwa na wa...
Top